Mch Msigwa avamiwa na vijana wenye mapanga -CCM watengeneza propaganda kuwa anagawa hela za bodaboda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mch Msigwa avamiwa na vijana wenye mapanga -CCM watengeneza propaganda kuwa anagawa hela za bodaboda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chachana, Mar 16, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru na maji ya chai. Mpango huo wa kufitinisha ambao unaratibiwa na Mwigulu Nchemba inasemekana wamekuwa wakiwapa fedha hizo vijana wachache na hivyo kutia hasira kwa vijana wengine kuwa fedha zinatolewa kwa upendeleo na matokeo yake wenye pikipiki wengi wameanza kugoma kujitolea kama ilivyokuwa hapo awali.
  Katika hila hiyo, ametajwa mhe msigwa kuwa ndiye mwenye fedha na kuwa vijana wote wenye bodaboda waende kumuona awapatie fedha jambo ambalo lilizua tafrani kubwa.

  Sambamba na hilo, CCM wamekuwa wakitumia ujanja mwingine wa kutumia bendera ya chadema kufunga kwenye magari yao ili kuwavuta watu na kisha watu wakikusanyika ndio wanapojivua gamba na kusema wao ni CCM na hizo bendera wanaonyesha kuwa watu wamerudi CCM, kitu ambacho kilitafsiriwa na wenyeji wa meru kuwa ni mbinu ya kijinga.
   
 2. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Pepo mchafu, laana balaa, ibilisi, shetani, huna nafasi, ondoka na utokomee, na umwingilie mwigulu na ccmd yake akatumbukie baharini atokomee
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama Wameru ni wajinga kiasi hicho hata washindwe kun'gamua mbinu za magamba. Magamba daima huwa wanatamani watu wawe wajinga wote. Safari hii magamba watalia machozi ya damu.
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Leta ushahidi hapa . Udaku hatuhitaji peleka kwa shigongo.
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mfa maji...CDM kanyaga twende...njia hii nayo imesanuka.
   
 6. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Mbona sijaona habari yyt kuhusu mapanga?au heading uliichomoa kwenye shigongo black movie?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mimi nadhani umefikia muda muafaka kuhakikisha CDM wanakuwa na Intelijensia iliyoimarika, hata kwa kuwatumia wengine kama ccm kuwabaini hawa wanaoeneza tabia chafu ya Rushwa kwa mgongo wa CDM.
  Akibainika hatua kali sana ichukuliwe iwe mfano
   
 8. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9,980
  Likes Received: 10,158
  Trophy Points: 280
  Natamani watanzania wote wangekuwa na uelewa wa watu wa Arumeru maana nchi hii saa hii ingekuwa mbali. Muda wa CCM kuongoza wajinga umepita na bado hapo 2015 ambapo watu wameamua kufuata ustaarabu tu kumuachia muda rais aliyeko madarakani amalize muda wake ni lazima patawaka moto. Hili ni angalizo kwani asiyejua maana haambiwi .....
   
 9. m

  mtayeshelwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 836
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Kwa kweli kama wanafanya hivyo it is not fair in the political battle ground vyombo vinavyo husika tuviomba vifuatilie madai haya, Na hatimaye kuwachukulia hatua za kisheria, Jamani tuwa ache wameru wachague Mbunge anaye wafuaa
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka una habari kuwa vijana wengi wa CDM wamepoteza vitambulisho vyao vya kupiga kura?
   
 11. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mpaka hapa hata ww umeshagundua huu mchezo mchafu, toa darasa kwa wengine pia mhamasishane kwa pamoja tutashinda, CHADEMA ni mimi wewe na yule.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  si tumeambiwa serikali mipo huko na ina jeshi???

  inakera sana hii, halafu Mchemba ni mtu wa kutandika bakora sijui mnamchelewesha nini hadi leo
   
 13. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  magamba ndo zenu hizo kwani hatuwajui!? Tunafahamu sana mnapenda kuwadharaulisha watu na kuwafanya wajinga ili muwatawale kirahisi na mnadharau sana.Kwa karne hii hilo halwezekaniki may be enzi za ticha.Kwa kizaz hki hata nyie mnafahamu na tena mshindwe na mlegee kwa kila baya mlitendalo dhidi ya wenzenu wa cdm kwana cdm wako makini kuliko ninyi magamba!.
   
 14. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli sera CCM haiziuziki kiasi cha kutumia mbinu hizi chafu. Kuna haja ya kuwatimua wote wanoshiriki katika kampeni za CCM Arumeru maana wanapoteza raslimali za chama period
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  2meshawazoea magamba !
   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  sipendi magamba na mambo yao
   
 17. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Namkataa SHETANI na mambo yake yote.

  Tumeanza na MUNGU tutamaliza na MUNGU. Mungu yupo pamoja NASI.
   
 18. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Watu wafundishwe kutamka maneno haya:

  "Tunaikataa CCM na mambo yake yote"
  "Tunaamini kuwa CHADEMA ndicho chama pekee kitakacholeta ukombozi wa kweli"
  "Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie"
  "Amina"

  Kisha malizia kwa kumshukuru MUNGU kama signature yangu inavyosomeka hapa chini. Sauti ya wengi, ni sauti ya MUNGU. Amina.
   
 19. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  bakora ndiyo dawa yake naona hawa TAKUKURU hakuna wanachofanya.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mwamuzi mzuri ni tarehe moja,hayuko mbali sana
   
Loading...