Huu ni zaidi ya ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni zaidi ya ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dhahabuinang'aa, Mar 19, 2012.

 1. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngd zangu hii nchi ni yetu sote!je!? huu ujinga tutaufumbia macho mpaka lini? kwani ccm kwa sasa wameamua kuchezea pesa za wavuja majasho kwa huuujinga kwa sasa wameamua kufungua kesi za kupinga matokeo karibu kila konaili eti kupunguza nguvu ya ARUMERU fuatilia kila kesi inaendeshwa mfululizoili hao wabunge husika wasiende ARUMERU hawa ccm watawachezea wa Tanzaniampaka lini?

  Hii mi binafsi inanikera kupita maelezo kweli huu ni zaidi ya ufisadi ukifanaya tathiminitatumika tsh ngapi kama gharama za kesi?ni kwa nini sisi watanzania siku zote kila kitu huwa tunakubali tuu!!!!?ipo siku tutaambiwa tumeuzwa tutashtuka kujifunika shuka saa 12 asubuhi pamekucha.na hii dawa yao ni katiba mpya.

  Tujipange tutengeneze katiba yenye usawa wamtawala na mtawaliwa tusitawaliwe kama watumwa na pia tujue hii nchi ni yetu sote.WATANZANIA TUAMKE TUSEME IMETOSHA Charless Chacha Chadema
   
Loading...