Chama cha siasa kikichangiwa na makabwela huwa na nguvu kuliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha siasa kikichangiwa na makabwela huwa na nguvu kuliko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Mar 19, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa ukweli katika falsafa za wanahistoria,mapinduzi hufanywa na makabwela.Tanzania imeshajitokeza hasaaaa kwani daraja hili ndilo ambalo linajitokeza kwa wingi na kuchangia mamilioni kwenye mikutano ya chama.Na kama chama kitachangiwa na mabwenyenye tu hupungua mvuto siku hadi siku na kupinduliwa kisiasa hatimaye kwani kwa kawaida kabwela ana sauti ya wengi kuliko bwanyenye.NAPONGEZA CHAMA KINACHOTHAMINI MCHANGO WA MAKABWELA KULIKO KILE CHAMA CHA MABWENYENYE.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  craaaaaaaaaaaaaap
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hata CCM ilipokuwa ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI ilichangiwa sana, tena hali na Mali. Hivi viwanja wanavyojivunia sasa kama CCM Kirumba, Majimaji, Sokoine pale Mbeya na vingine kila mkoa vilitokana na watu kujitolea sana kubeba mawe na tofari na kuchanga vihela kidogo. Na wakati hu chama kilikuwa kinapendwa, but toka wameingia kwa wahindi kuomba mshiko mkubwa na waliponogewa wakahamia hukohuko hakuna anayeipenda CCM anymore na ndio maana shuguli yoyote ya CCM watu wanauliza kuna posho, kuna ubwabwa n.k. Mfano mzuri ni sherehe za miaka 35 ya chama chao ng'ombe 70 na Nyumbu 20 walichinjwa ili kuwavutia watu while enzi za chama cha wakulima na wafanyakazi watu walikuwa wanakuja na vyakula vyao
   
 4. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera Chadema!
   
 5. R

  Real Masai Senior Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This is a bright future for CDM.Tumuombe Mungu CDM ilete mabadiliko ya kweli kwa kizazi hiki na kijacho
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Hakika CHADEMA ni chama cha watu, TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Iliko hazina ya mtu ndiko iliko roho wake
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Umemaliza kila kitu mkuu...amini usiamini...hii technique inakwenda kuingusha kabisa CCM 2015...hongereni sana CDM kwa ubunifu wenu...binafsi nimewanyoshea mikono...sina chakusema...cha mno ni kuwatakia KILA LA KHERI.
   
Loading...