Lusinde siasa ni kazi ngumu sio kupewa kipazasauti na kupayuka tuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde siasa ni kazi ngumu sio kupewa kipazasauti na kupayuka tuu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 19, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Ninamshauri Bw. Lusinde kwenda shule hata kidogo tuu kwa kuwa hekima ya kawaida Mungu hakumjalia! Siasa siyo kupayuka tuu jambo lolote provided umepewa kipaza sauti, hebu katafute hekima ya kitabuni itakusaidia kusoma mazingira.

  Nawasilisha
   
 2. R

  Roben Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kusikia lusinde akiongea kitu cha maana tangu nimfaham km mbunge.anasema arumeru wamchague sioi eti kwa kufanya hivyo watakuwa wamemfuta machozi kwa kufiwa na babae!
   
Loading...