CHADEMA kupata ushindi kirahisi Tumtumie Dr. Slaa kwenye kampain ana mvuto wa tofauti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kupata ushindi kirahisi Tumtumie Dr. Slaa kwenye kampain ana mvuto wa tofauti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 19, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Dr. W.p. Slaa ana mvuto wa kipekee, ninaomba CHADEMA tumpangie mikutano sehemu zote ambazo tumesimamisha wagombea, mwaka wa uchaguzi nakumbuka nilikuwa Tukuyu, Mbeya watu walikuwa wanamsubiri Slaa lakini bahati mbaya kutokana na mizengwe hakufuka, yaani Wananchi walitaka wamuone tuu harafu apate kura zoote.

  CHADEMA mna mtaji sijui kama mnalifahamu hilo viongozi wetu, nawaomba katika kata ya kiwira, Tukuyu hebu tumieni huo mtaji, akitua pale tuu mnayo hiyo kata, nawahakikishieni kwa asilimia zoote mtachukua hiyo kata.

  Siyo kuwa sithamini mchango wa viongozi wengine, ila kila mtu ana mvuto wa tofauti.

  Nawasilisha
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Zaidi ya Vicent Nyerere? au Nyerere kisha maliza kazi yake ya kutukana sasa kinafuata kipindi cha kumwaga sera.
   
 3. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Presdential material
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Slaa ameshafunika jana Arumeru kule..
   
 5. T

  Tata JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,737
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  Thatha alichotukana Vincent ni nini hasa?
   
 6. R

  Real Masai Senior Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we matusi unayajua.Magamba washakutuma ehhhhhhh..poleeeeeeee..Ila huo ndio ukweli Slaa ana mvuto wa kipekee kwa watz........
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  na kweli. hata kule uzini alisaidia sana chadema kupata 2% ya kura zote.
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndo nini hapo kwenye red?
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hilo jimbo la KUZINI linamfaa Adam Malima atapata 99.99% ya kura zote!
   
Loading...