Wafadhili wa Chadema waingia mitini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafadhili wa Chadema waingia mitini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CUF Ngangari, Mar 19, 2012.

 1. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeona matangazo yakihamasisha wafuasi na wanachama wa chadema wakihamasishwa kukichangia chama katika kuendesha kampeni siku ya ijumaa saa 2 hadi 4, wakitafuta shilingi shilingi za walalahoi, sasa nakubaliana na maneno ya Nape kuwa wafadhili wa chadema wameingia mitini baada ya kuona ukombozi ni ndoto kupatikana kupitia chama hicho, ni kweli sasa chadema wameishiwa pesa za kumalizia kampeni za arumeru na ushindi kuwa ndoto kwa chama hicho.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Bora kama wafadhili-uchwara hao wameondoka, tutakichangia chama chetu wenyewe!
  Peoples Power!
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahahaha mke anamtetea MUME WAKE MPENZI CUF BWANA!
   
 4. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni nyema umekiri kuwa nchi inahitaji kukombolewa!
   
 5. r

  rwazi JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wafadhli unawajua wewe.cdm ckama ccm inayo tegemea michango ya matajiri,chadema nichawananchi hivyo kitachangiwa na wananchi wenyewe.
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  ushindi unaotegemea pesa ni wa ccm kuwahonga pilau wapiga kura uchwara.. ccm hakiitaji kuchangisha watu sababu wanatumia pesa za serikali kufinance kampeni zao,wanakaa vikao vyao kwa fedha za serikali hadi fomu za chaguzi za mwaka huu za ccm wanatoa copy kwenye ofisi za serikali kwa hela za serikali,..shame on them
   
 7. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ungekuwa umesoma kitu inaitwa falacy ungeona jinsi ulivyo mtupu kichwani. Falacy is usually an improper argumentation in reasoning resulting in a misconception or presumption.
  Hivi chama kuwa na wafadhili ambao si wananchi si ndiyo mwanzo wa kuiuza nchi? Hivi kwa nini Watanzani wasiifadhili nchi yao? Hivi kweli wewe na Huyu unayemwita nape mna akili? Kama Chadema wanawahamasisha watu wachangie/ wafadhili nchi yao wanakosa gani. Je si kwamba hao wafadhili wameondoka baada ya Chadema kukataa kuiweka nchi rehani?
  Kimsingi mwananchi kuchangia ni jambo la kusifiwa na halipaswi kukejeliwa. Unajua JKN aliposema, "Mtu anayekuheshimu akikwambia kitu cha kipumbavu halafu ukakubali atakudharau." Ulichosema ni cha kipumbavu, najua JF ikikubaliana na wewe utaidharau. Nasema hivi. Ficha upumbavu wako na onesha hekima yako.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kwani chama ni cha wafadhili au wanachama? Hayo ndio madhara makubwa kwa mindset ya wana CCM.......used to be CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI sasa ni cha WAFADHILI
   
 9. j

  jjjj Senior Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu Ngangari.asante sana kwakutujuza hayo waonekana wewe ni mtu mpenda kusema ukweli kabisa
  ila kuthibitisha maneno yako uyasemayo mwenyewe tuwekee link ama any supportig evedence yako vinginevyo siyatakuwa tu nimajungu tu tusifike huko tafadhali tujadili mambo kwa mapana hapa JF
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mtaji wa chama ni wanachama tena wengi kwa uwingi wao.
  Ni hatari sana na kwa chama kufadhiliwa na wachache au kikundi cha watu wachache.
  Ni lazima kitafanya maamuzi kwa interest za wachache.
  Na kikifadhiliwa na wengi walalahoi, kitafanya maamuzi kwa interest za wengi walalahoi.

  Halafu nyie CUF, ni wapinzani kweli?
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  this is my favourite post for today
   
 12. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwani sie wanachama wa chadema umesikia lini tukilalama kuchangishwa? wafadhili wakija sawa wakiondoka (hata kama ni kweli) si tatizo, kikubwa ni dhamira ya ukombozi ndo inayotuongoza. Pole kwa dua lako la kuku, chama chako kinawafadhili wangapi mpaka sasa?? debe tupu katu haliachi kupiga kelele.
   
 13. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mke mdogo huwa hayuko radhi kuona bwanawake anaonewa, huonyesha mapambano japo kwa chinichini.
   
 14. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la CCM siku zote ni kuota wafadhili, matokeo yake chama sasa kiko mikononi mwa mafisadi a.k.a Wafadhili!
   
 15. E

  ESAM JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Chama cha watu huendeshwa na watu na sio wafadhili
   
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Shilling shillingi ndo ziling'oa mkoloni
   
 17. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Jambo moja tuu na ujijue sifa zako..UMEJIUNGA AUG 2011,UMEPOST ***** MARA 96 Ukalumbana na wenye akili mara 251 UJINGA WAKO UKAPENDWA NA WAJINGA KAMA WEWE MARA 11..huna hata kimoja ulichoona ni cha maana kwa walioweka mada hapa...Sasa huoni wewe ni wa kutoga sikio tuu???

   
 18. m

  maweni Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Shame on these stupid ccm and the likes nape!
   
 19. M

  Mringo JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mimi sio CDM ila naona uwezo wako wewe kufikiri haundi mbali hata ya mkojo wako unapofika ukojoapo....Kwani CCm walipoomba kuchangiwa cjui ilikua mwaka jana...ina maana wafadhili wao waliingia mitini??...fikiria vizuri ndugu JF ni kwa wasomi watu watakushangaa
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa kama hapa unakipaka CHADEMA mavi au Blue Band?
   
Loading...