Vijana wa CCM wafanya fujo na kuteka Magari Madiwani Majiyachai,CDM wawasambaratisha

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia ilipo kambi kuu ya CDM maeneo ya Leganga na vijana kuondoka na Magari kama sita kwenda kuwakomboa madiwani.Zoezi limefanikiwa,gari moja ya wana CCM imefukuziwa na VX moja ya mwana CDM na wakaamua kukimbilia kituo cha polisi Usa.
 
Hii shuhuli ya safari hii green guards wametumwa kufanya lolote lile ilimradi shetani apate ushindi.
Tulianza na Mungu, Tunamaliza na Mungu.
 
katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia ilipo kambi kuu ya CDM maeneo ya Leganga na vijana kuondoka na Magari kama sita kwenda kuwakomboa madiwani.Zoezi limefanikiwa,gari moja ya wana CCM imefukuziwa na VX moja ya mwana CDM na wakaamua kukimbilia kituo cha polisi Usa.

Maumivu ya kichwa huanza pole pole!!
 
hiyo ni trela tu picha inakuja hawa magamba kitaeleweka tu na kesho vijana wa dar wanaanza kuondoka kwenda kuongeza nguvu lengo ushindi upatikane kwa njia yoyote.
 
Shetani ccm kazi yake ndiyo hiyo kuua na kukimbilia polisi.shetani ni muuaji siku zote hapendi kuona anashindwa.
 
CCM, CCM, CCM naomba mfahamu kwamba CHADEMA ni wapole lakini siyo wanyonge.
Mnatembea mkihubiri kwamba CHADEMA ni chama cha wahuni na hivyo mnachokoza ili watu waamini propaganda zenu za kipuuzi.
Mkae mkijua kwamba mnachokiandaa ni kitu kibaya sana ambacho kama watu wakiamua kureact yatatokea madhara makubwa sana tena sana.
Hatutaogopa virungu wala mateke, hatutaogopa risasi wala mabomu ya machozi. Ole wenu watu wakichoka tutalaumiana!!
 
true story,ccm ni wachokozi mno,nimetoka maeneo walipo weka kambi CDM,huwezi amini Semi la TOT la CCM ninapita njia hiyohiyo taratibu huku limewasha taa za kimulimuli,ninini hiki kama si kutaka vijana wa CDM wawazingue?
 
Wanayo yahubiri sisiemu katika majukwaa kuwa ni chama cha amani na utulivu na eti wapinzani ndio waanzisha vurugu leo imekuwaje tena. R.i. P ccm kweli kuishabikia sisiemu inabidi uwe na akili za maiti.
Tunafahamu mnadola na kila kitu, ila sisi tuna mungu, muda wa mabadiliko ukifika umefika tu..... R.i p ccm
 
Watafanya lolote wanaloweza kufanya wakati huu wa kampeni
Aibu yao baada ya uchaguzi.
Nguvu ya Umma haijawahi kushindwa mahali popote duniani
 
Mara baada ya madiwani kupata mwanya na kuondoka,Vijana wa CDM wa majiyachai wame weka target na kuvizia magari yaliyotoka kwenye kampeni za CCM na kuharibu kwa mawe gari moja lililokuwa limebeba waandishi wa habari.
 
katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia ilipo kambi kuu ya CDM maeneo ya Leganga na vijana kuondoka na Magari kama sita kwenda kuwakomboa madiwani.Zoezi limefanikiwa,gari moja ya wana CCM imefukuziwa na VX moja ya mwana CDM na wakaamua kukimbilia kituo cha polisi Usa.
waje tu wa dar watajua wanaapolo ninani tena tuna uchungu na ccm chali yangu,mlima wamewapa wazungu isee. H ao K Waletwe tuwa...ti.c wanajifanya wanakuja kumsaidia shoga mwenzao hawataamini.fati za mku...du ziwatawahusu kima hao.
 
Mkuu ulikuwa haujui kama comflict is a source of change.. Acha kinuke tu ccm wameshawafanya watanzania mazuzu.. Wao si wanajiona wako juu ya sheria acha waone mziki wa vijana wanao waita wahuni a.k.a panya kama gadaffi alivyokuwa akiwaita lakini nadhani ulimwengu woote ulijua nini kilimpata bila shaka .. Anamaswali ya kujibu huko alipo... R.i p ccm

amani jamani!
 
Tatizo nikwamba wezi wanatumia wenye njaa kujinifaisha hao ******* wadar wanaletwa kufanya ni2? Huku hakuna mabasha sasa waje waone.tutawaikea fataki mku..ni hamini usiami.hatatuki shoga arumeru.hapa co dar watishia hapa kama sioi anafaa wampe viti maalumu c anapenda kuwa demu ndio maana katoboa sikio na kuva shanga.
 
katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia ilipo kambi kuu ya CDM maeneo ya Leganga na vijana kuondoka na Magari kama sita kwenda kuwakomboa madiwani.Zoezi limefanikiwa,gari moja ya wana CCM imefukuziwa na VX moja ya mwana CDM na wakaamua kukimbilia kituo cha polisi Usa.

Hatutaki fujo Arumeru vyama vyote vinahitaji siasa za ushindani.
 
amani jamani!

Madiwani wetu wa CDM kutoka moshi watekwe na kulazimishwa kuchana picha za mgombea wa CDM alafu chadema tukae kimya,hapana haiwezekani na tumesha sema kuwa CHADEMA NI WAPOLE LAKINI SIO WANYONGE,Mungu ibariki Arumeru,Tumeanza na Mungu titamaliza na Mungu...
 
Iwe kwa udi au uvumba Arumeru ni ya cdm lazima tuulinde utanzania wetu kwa kuichagua cdm
 
Back
Top Bottom