CHADEMA fujo na siasa haviendi pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA fujo na siasa haviendi pamoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Mar 19, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hiki chama ni cha kisiasa, kwanini kila kukiwa na kampeni mnapenda shari. Sote ni watanzania,twajivunia AMANI iliyoasisiwa na TANU/AFRO SHIRAZI,Mtoto CCM akazidi kuendeleza na wananchi kufurahia ndani ya nchi yao. Ujio wa vyama vingi umeleta vyama vya siasa vilivyo na heshima na vilivyokosa mwelekeo wa amani kama CDM.

  Nachukua fursa hii kutoa USHAURI kwa CDM kuwa waachane na siasa za majitaka na ugomvi pale ARUMERU Mashariki, watumie majukwaa kuuza sera zao ambazo zimekataliwa Igunga, Uzini na dalili za Arumeru zinaonyesha CDM watakaa matokeo na kuanzisha fujo.

  Tafadhalini Tanzania ni yetu sote, AMANI ni kitambulisho chetu, sasa nyie mnaanzisha fujo kwa manufaa ya nani???
   
 2. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe nigamba kama magamba mengine
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,595
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hata ANC walikuwa wanaambiwa kauli kama hizi na MAKABURU. The second and more important independence is coming.
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Amani na Utulivu my foot.........
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  sasa hao cdm wanapigana na nani?
   
 6. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Suala silo kuwa gamba ama gwanda; TANZANIA NI YA WOTE; NYIE WAFUASI WA CDM NGUMI MKONONI KWA NINI??? TENA MWAPENDA KUIBEZA ujumbe wa JESHI LA POLISI KUWA UTII NA SHERIA
   
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Propaganda hazina nafasi katika ukweli. Nani asiyejua kuwa vurugu, matusi na fujo katika chaguzi ndogo vinaanzishwa na CCM!!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Madai ya kipuuzi, maana hakuna alipoweka mfano!
   
 9. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama Tanzania ni yetu sote mbona fedha za mauzo ya TWIGA mimi sikupata?

  Mwambie aliyekutuma kuwa aondoe hiyo sentensi ya kuwa Tanzania ni yetu sote kwenye hayo maandishi aliyokukaririsha. Hata hivyo pitia Lumumba ukachukue buku 2 zako....eeh, nilitaka kusahau mwambie ngeleja umeme leo amesahau kukata
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukitaka utii uje bila ghasia, basi mnapouza TWIGA gaweni mgao sawa. Na suti asihongwe wa magogoni peke yake, na sisi tupo.
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,548
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  jamani makamanda wa Jf tuanzisheni harakati au process maalum ya kusan virus wote wa magamba na mamluki wao kwa kuwajibu dry au kutochangia kabsa kwenye thread za kipumbavu kama hivi.
   
 13. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukitaka utii uje bila ghasia, basi mnapouza TWIGA gaweni mgao sawa. Na suti asihongwe wa magogoni peke yake, na sisi tupo.
   
 14. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizi ndio kura za CCM. Wanajivunia kuchaguliwa na watu ambao hawana wanachodesire kwenye future. Wangekuwa na akili wasingejivunia hili, badala yake wangejiandaa kupambana na newcomers kwenye daftari la wapiga kura
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu Chadema kukataa matokeo imo kwenye sera za chama angalia tangu Urais , Igunga, Uzini wembe ni ule ule , ni njia moja wapo ya kuonesha kuwa wanaonewa kumbe danganya toto.
  Halafu kitu kingine unachotakiwa kujua , hawa jamaa wanaendesha kampeni huku wakifikiria mafungu ya fedha na ndiyo maana matokeo yakishatangazwa tu huwaoni tena pengine tafsiri huja kuwa wamesusia kumbe wanakuwa wamewahi mgawo isije ikatokea wajanja wakawawahi. Unawajua lakini wajanja wa Chama? Unawajua fisi? msosi ukiwa adimu ikatokea mzoga ukasikika sehemu , hiyo vita ya fisi inakuwaje, na wakati mwingine mmoja wao akiwa lege lege anaweza kuliwa yeye. Ndicho kinachofanyika pale CDM.
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tangu ufundishwe hii kozi ya MULTIMEDIA umekuwa na ugomvi na CCM siyo.
   
 17. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Acha u.fwa.la...kwa hiyo cdm wawe wanafanyiwa fujo halafu wananyamaza???...hebu toa mfano wapi CDM walianzisha fujo.gamba we.
   
 18. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,495
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Chadema always ni chama cha fujo . Hata washabiki wao humu ndani (JF) ukiangalia majibu wanayotoa wakizidiwa na hoja ni ya fujo fujo na kuudhi . Wanatakiwa kubadilika kama kweli wanataka kuwa chama cha upinzani kinachokubalika na watu wote.
   
 19. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Mafilili,
  Mbona leo umeandika kwa upole sana mumebanwa huko? Halafu mbona kauli zako zimejichanganya???

  Pole mkuu, waambie wazee waliochanganyikiwa Mkapa, Wasira & co, waache siasa za maji taka, vijana watawatoa ulimi nje....:violin:
   
 20. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 673
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nawe umetoa ushauri ccm
   
Loading...