KIBANDA: My Respect And SALUTE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIBANDA: My Respect And SALUTE!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Mar 17, 2012.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Well, sasa nipo bongo so pole pole ninaanza kujionea ukweli mwingi sana amabo umekuwa ukifichwa, moja wapo ni who is Muandishi Kibanda, I mean at onetime through hapa na blogs zingine nilikuwa nimeanza kuaminishwa kwamba Kibanda ni a sellout na hafai ni muongo na ndumakuwili na ni mnafiki,

  - Lakini people ninaomba ksuema wazi kwamba baada ya kuwepo huku Ground Zero sasa nimegundua kwamba: ZOTE ZILIKUA NI EITHER CHUKI ZA KISIASA ZA MAKUNDI AU WIVU TU WA MISIMAMO YAKE MIKALI SANA KUHUSU UKWELI!

  - Mungu anasema tutoe credit where it is due na mtu akionewa na wewe ukajua ukweli na kunyamaza unakua na dhambi kubwa sana, ninasema MY RESPECT AND SALUTE TO KIBANDA AND KEEP IT UP! Na ninaomba nikuombe radhi sana mkuu kwa sababu hata mimi wakati flani kwa kuwasikiliza some members hapa ambao ninawamini sana nilidanganyika na the ile hype kwamba hufai, sasa nikiwa hapa bongo ninajua ukweli wote mwanzo mpaka mwisho, AGAIN NAKUOMBA RADHI SANA MKUU NA NIMEJIFUNZA SOMETIMES KUHUSU KUKURUPUKA BILA FACTS!

  - JUZI NILIPITA HAPO TZ DAIMA NIKAONGEA SANA NA NGURUMO, HOPE ALIKUPA MY MESSAGE, MUCH RESPECT BRO!


  Es!
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  When you have a political agenda YOU you need to align with the press as you would need them to propagate your agenda.
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - In life's agenda sometimes politics must come to a dead end, allowing people to speak the truth and set the records straight while letting the chips fall where they may!

  - And only the truth shall set you free!

  Es!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  kumbe bado upo JF ?
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  ale mwaha ulibaha?
   
 6. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Tina tena nipo Ground Zero, yaani bongo so ni wakati wa kufunua kila kitu na kujua ukweli wake, @ Imany hiyo ni lugha gani tena mkuu?, yaani huku uwanja wa kimataifa JF kuna watu wanongea lugha zao leo 2012?

  Es!
   
 7. Imany John

  Imany John Verified User

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Ale alee zande.
   
 8. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi mkuu fieldmarshal una uhusiano wowote na Le Mutuz? Naona mnafanana sana hasa ujengaji wa hoja na namna ya kumjibu mtu. Cha zaidi hadi maneno mnayotumia yanafanana eg. Ground zero na nimechanganyikiwa zaidi kufahamu kwamba wote mmeamua kurudi bongo mda unaofanana.
  Kubwa na la mwisho yaelekea wote mna agenda moja (politics).
   
 9. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tehetehetehe le mutuz baharia fake from chilonwa
   
 10. m

  maggid Verified User

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kaka,
  Karibu Ground Zero ( Minus). Tupo karibu na Chipogoro, Mtera!

  Maggid Mjengwa,
  Iringa.
  Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
   
 11. Imany John

  Imany John Verified User

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Moja ya watoto wa viongozi wanaopenda a.k.a kama samaki na maji.
   
 12. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..[​IMG]
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  jamaa aisee, kila saa nipo hapa bongo nipo hapa bongo.... :hand:
   
 14. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Pole sana maaana naona unanifuatilia sana karibu sana sasa hivi nipo seaview, naelekea mjini! ha! ha! ha! ha! ha!

  Es!
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona unafanya ziara kwenye media kama Nape! Lini Uhuru public?
   
 16. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Problem is people thrives on the lies rather than the truth. Maybe it is because the Truth hurts so.

  How inquisitively interesting to see Field Marshall's Post.
   
 17. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,942
  Trophy Points: 280
  Mkuu umemtaja Ngurumo,huyo jamaa ni kichwa.Siku moja nilikaa naye Fly Park Mwanza tukipata moja mbili na kujua msimamo wake wa kile andikacho.ukweli jamaa yuko sawa.
   
 18. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Thank u! U know niliimiss hiyo style.
  Ha! ha! ha! ha! ha!
   
 19. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Le Mutus
   
 20. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Alo...hii ndo nini.
  Nyie maMod em kataza watu kuweka vimatumbi humu.
  This guy is wasting space. Nani kaelewa hii?

   
Loading...