Nahisi mvuto wa mh.tanzania unakwisha mara tu akiigusa vibaya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi mvuto wa mh.tanzania unakwisha mara tu akiigusa vibaya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Mar 19, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nimefanya 'observation'na kugundua kabisa hivi sasa ukikisema vibaya CDM UNAKUMBWA NA UGONJWA WA KUPUNGUKIWA NA UMAARUFU(UKU).Kwa yeyote anayetaka kupata ushahidi,afungue thread yoyote inayohusu kiongozi,viongozi au CDM aone matokeo.WENGI WANASEMA MSHIKAMANO,HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE,UKOMBOZI WA PILI.MENGINE WANASEMA WANAPOTEZEA.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mbona heleweki mkuu, plz hebu rudia kuandika hii thread kwa umakini ili tupate kujua well your conception ktk hii thread.
   
 3. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mkuu clarify unaachomaanisha too general
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  stupid thread
   
Loading...