Hongera sana wizara ya afya kumng'oa mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya chakula na lishe tanzania

maluluma

Member
Mar 11, 2012
17
1
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA. Taasisi kwa kipindi kirefu ilikumbwa na dhoruba kubwa sana ambapo wafanyakazi wengi walitamani siku moja kushuhudia mabadiliko ya uongozi wa katika yao unabadilika kufuatia kero kubwa zilizo sababishwa na mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Ndosi. Katika kipindi akiwa kama bosi taasisi hii imekumbwa na kero nyingi sana. Baadhi ya kero hizo wafanyakazi wengi kunyanyaswa, kuonewa, kutotedewa haki na upendeleo katika mishahara, kutopandishwa vyeo kwa baadhi ya wafanyakazi, kutokuwa wazi ktk utendaji wa masuala mengi ya fedha na nyaraka mbalimbali. mambo mengine ni tuhuma za ufisadi, lugha mbaya kwa wafanyakazi na maendeleo ya taasisi kudidimia kabisa ukilinganisha na kipindi chochote kile ktk uongozi wa taasisi. Taasisi ina majengo chakavu, magari yamechakaa na msululu wa mambo mengi ya kusikitisha.

Katika kipindi chake tumeshuhudia tume nyingi za uchunguzi zikija kuchunguza tuhuma mbalimbali alizokuwa nazo, lakini aliweza kuzima na mpaka sasa hakuna hatua iliyochukuliwa. Hivyo wengi tulikuwa tukisubiri siku ya kustaafu kwake. Kibaya zaidi huyu bwana alikuwa hataki kustaafu licha ya kufikia umri wa kustaafu. Lakini kumbe akawa ameomba mkataba wa kuendelea. Mungu mkubwa, kigogo (Nyoni) aliyekuwa anataka kumpa mkataba akaondolewa wizarani kupitia mgomo wa madaktari.

Hakukataa tamaa. Akatupa kete nyingine. Mara hii ya pili akaomba mkataba kwa mkataba wa kuendelea kubaki kwa waziri wa afya na baadaye akatangaza mbele ya menejimenti ya tarehe 9/3 kuwa ataendelea kwa maana hatastaafu kwasababu hakukuwa na mtu wa kumwachia taasisi. Hatua hiyo iliwasikitisha sana wafanyakazi. Lakini ilipofika ijumaa tarehe 16/3 tukashuhudia anaitisha kikao cha wafanyakazi na kuaga. Hii ilisababishwa na barua toka wizara ya afya kumshinikiza astaafu. Hivyo wafanyakazi tuna pongeza uamuzi wa busara kubwa wa waziri wa afya watendaji wa sasa wa wizara ya afya. Wafanyakazi wengi wamepokea kwa furaha uamuzi huo na pili umeepusha rabusha ambazo zingetokea kwa bwana huyu kuendelea kung'ang'ania madaraka wakati taasisi iko mahtuti sana (ICU). Wafanyakazi wanasherekea gogo kung'oka.
 
Sasa kama kikazo kimeondolewa nasubiria kuwaona mkishamiri ktk utafiti wa mambo chakula na lishe vinginevyo hata na wewe mleta mada utakuwa ni kikwazo tu!!
 
Sasa kama kikazo kimeondolewa nasubiria kuwaona mkishamiri ktk utafiti wa mambo chakula na lishe vinginevyo hata na wewe mleta mada utakuwa ni kikwazo tu!!
yawezekana jamaa walibaniwa ulaji wa ujanja ujanja kama tulivyozoea!
 
Wafanyakazi wengine ni wezi mianja ya uwizi na rushwa ikibanwa lazima alalamike sana.
 
Kiukweli tasisi nyingi za serikali zimejaa viongozi wababaishaji na wababe wengi. Hongereni kumtua huyo, ila pigeni kazi mjenge taifa, acheni rushwa, visingizio, utoro, uzembe dharau kwa wateja n.k.

Kama mtazamo wenu hautabadiliki mtapata mwingine kama huyo.
 
Mleta hoja hajajipanga vizuri kuwasilisha hoja kuondoa ugomvi binafsi , lakini cha kushangaza katika watu waliochangia nawafahamu kama saba hivi ni watusi piwa......mmh wanamtetea mtusi mwenzao au hoja haina mashiko?
 
Inawezekana ni kweli mleta hoja alikuwa na ugomwi au anategemea kupata maslahi fulani iwapo huyo Bwana Ndosi ataondoka. However, kitendo cha mtu kufikia kustaafu halafu bado anang'ang'ania madaraka ni uroho uliozidi au ni kuogopa maisha ya ustaafu. Hawezi kusema hakuna mtu wa kumwachia wakati kazi yake haijawahi kutangazwa. Siyo razima mtu anayemrithi atoke hapohapo. Hata hivyo, kudai kuwa hapo TFDA hakuna mtu wa kumwachia?? I doubt!!! Nafahamu some few guys ambao nafikiri wanauwezo!!!
 
Inawezekana ni kweli mleta hoja alikuwa na ugomwi au anategemea kupata maslahi fulani iwapo huyo Bwana Ndosi ataondoka. However, kitendo cha mtu kufikia kustaafu halafu bado anang'ang'ania madaraka ni uroho uliozidi au ni kuogopa maisha ya ustaafu. Hawezi kusema hakuna mtu wa kumwachia wakati kazi yake haijawahi kutangazwa. Siyo razima mtu anayemrithi atoke hapohapo. Hata hivyo, kudai kuwa hapo TFDA hakuna mtu wa kumwachia?? I doubt!!! Nafahamu some few guys ambao nafikiri wanauwezo!!!


:attention:Mimi Poti nimefurahi sana huyo jamaa amtolewa. You are absolutely right people forget so fast where they came from instead of serving the people; they turn to be WAFISADIS. Jama huyo amesoma na Mr. wangu in the 60s na anatembea na madam moja mke wa mtu tena mke huyo ameweza kumpeleka nje kusoma na kumpa post nzuri sana huko LISHE. You these are some of the people ambae tunatakiwa kuwachoma na moto kabisa. Wako makanisani kama wazee wa kanisa au washiriki wakati wanafanya madudu. Huyo Ndosi na madame wake ni Mrs. ----- fanya utafitiwako mwenyewe. Anaendesha Benz wakati flani flani na anabadilisha na pia ni Mchagga wa Rombo.
 
Una ajenda yako ya siri iliyojificha katika hili. Nimeshaigundua, haufai kabisa.
 
Back
Top Bottom