Ndugu zangu,
Nchi yetu inaingia gharama zisizo za lazima kama ambazo nchi inaingia kwa sasa kwa wagombea, vyama na hata Serikali kutumia fedha nyingi katika chaguzi ndogo.
Tumeona hata...
Inafikia wakati simuelewi Rais wangu Kikwete.Hawawajibishi watendaji wakosaji serikalini mwake.Anafuga ubovu.Ubovu huzaa mbovu.Eti,anawastaafisha t au kuwahamisha vitengo tu.Chukua mfano wa...
Hussein bashe mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation anaendesha mchezo mchafu Arumeru Mashariki dhidi ya CDM .Jana wafuasi wa CCM walifunga barabara ya moshi-Arusha eneo la maji ya chai na...
huwezi amini lakini hili suala linaukweli asilimia 100%,wawakilishi wa ccm hapa chuoni na majina nitayatoa kesho mara baada ya mikakati ya kuwatia nguvuni kukamilika.haijulikani wamepewa tshs...
makada wa ccm wanaeleza mbinu makini waliyotumia kuishinda chadema kabla ya uchaguzi wa arumeru mashariki.
Ile siku ya jumamosi ambapo chadema walizindua kampeni zao pale leganga kulikuwa na...
Nimetafakari sana baada ya kuona barua ya mzee Butiku (Soma Unawezakuendelea bonyeza HAPA) na kujiuliza yafuatayo. Katika mbio za urais ya mwaka 2005 kundila wanamtandao liundwa na vinara 6 ingawa...
Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga (Chadema) yuko nje ya nchi kwa matibabu ya moyo hali ambayo imesababisha kesi inayomkabili pamoja na washitakiwa wengine kuahirishwa hadi mwezi ujao. Taarifa...
Aliyekuwa mbunge wa Cuf aliyefukuzwa na Baraza kuu la uongozi Taifa kwa kukiuka maadili ya chama na kukimbilia mahakamani, ambaye alikuwa akitengeneza propaganda chafu dhidi ya CUF kwa kutengeneza...
Hivi karibuni Julius Malema, kiongozi muasi na mbaguzi wa Umoja wa Vijana wa ANC, ambaye hata hivyo amefukuzwa uongozi na kuvuliwa uanachama amenukuliwa akisema kwamba amepokea salaam za pongezi...
Wote tunajua kwamba Katika Namna ya Kipee Bunge la Jamuhuri ya Muungano kati ya mwaka 2008 au 2009 lilipitisha kiwango kikubwa sana cha Fedha za watanzania ili kutuliza mtikisiko wa kiuchumi kwa...
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi...
Mwenyekiti wa NEC ambaye ni mteule wa bosi wa CCM, anajua fika kwamba ni ukiukwaji wa sheria na kanuni kutorekebisha daftari la wapiga kura la Arumeru Mashariki (kama ilivyokuwa Igunga), lakini...
Jamani si kama ninachokoza...ninataka kujua tuu hili jina Sioi..hicho ni kiswahili kamili chenye nia hasi. Sasa ndiyo najaribu kuhusisha na uwepo wa hereni kwenye sikio kama vina uhusiano au la...
...issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala...
WANANCHI wa Jimbo la Arumeru Mashariki, wameombwa kumchagua mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Sioi Sumari ili kumfuta machozi yaliyotokana na kifo cha baba yake mzazi, Jeremiah Sumari...
Title Chronology for Zanzibaris in Tanzania Publisher Minorities at Risk Project Country United Republic of Tanzania Publication Date 2004 Cite as Minorities at Risk Project...
CCM sasa wamebuni mbinu mpya ya kudai kuwa mwaka 2005 kweli Lema alishinda lakini wao walipoona atawabwaga mahakamani walimkatia ganja na akapokea na hivyo kutokwenda mahakamani na hivyo wadai...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,polisi waliokuja wilayani Arumeru zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ta mkoa wa Arusha, wamemuandikia barua ya siri Dr Slaa na kumuomba awasemee tatizo lao la...