VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Inafikia wakati simuelewi Rais wangu Kikwete.Hawawajibishi watendaji wakosaji serikalini mwake.Anafuga ubovu.Ubovu huzaa mbovu.Eti,anawastaafisha t au kuwahamisha vitengo tu.Chukua mfano wa Mwanyika,Hosea,Jairo,Luhanjo na sasa Ikerege(Mkurugenzi Mkuu wa TBS).
Hivi,Rais wangu Kikwete anasita kwanini? Bado analinda jina lake lisichafuke ili agombee uongozi mahali fulani? Anaogopa kwakuwa vyombo vya usalama havimhakikishii ulinzi?
Hivi,Rais wangu Kikwete anasita kwanini? Bado analinda jina lake lisichafuke ili agombee uongozi mahali fulani? Anaogopa kwakuwa vyombo vya usalama havimhakikishii ulinzi?