Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yatimia aliyosema john Shibuda Mbunge wa Maswa alipompa JK vidonge vyake- kwamba CCM itamfia mikononi mwake. Tunayaona pole pole tangu Igunga na kata nyingi za udiwani -- ambayo CCM mwaka mmoja tu...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndiyo wakuu ,heshima kwenu. Wiki iliyopita Dr Slaa wa ukweli alizindua ofsi za matawi ya Sweya ,Malimbe na Saut. Katika nasaha zake Dr slaa alikazia utumishi uliotukuka kwa viongozi dhidi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida kwa viongozikupinga na kukanusha vikali tuhuma mbalimbali zinazo wakabili wao na hataserikali yao. Lakini kwa sasa imejithihirishawazi kuwa ni vigumu kuwatenganisha viongoz i...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli siasa ni mchezo mchafu. Unaweza kumsikia mwanasiasa anasema hiki ukafikiri anamaanisha kumbe ni kuhadaa wananchi tu, hii imedhihirika baada ya kupata tetesi kutoka Ikulu ya Dodoma kuwa...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
ni mkutano unaoendelea katika viwanja vya mwembe yanga huku aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu aliyefukuzwa mwenyekiti wa mbeya mjini yasini mrotwa ameomba radhi mkutanoni na wameahidi kwenda kuomba...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Mbunge huyo wa Jimbo la Ilemela ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Ibanda ya juu- Kata ya Kirumba saa 11:27 jioni ya tarehe 22.03.2012. Kasema...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
ila ninaanisha kuwa hawa jamaa wa ccm wanatumia ofise na ukumbi wa chuo hicho kilicho hapa Tengeru , kwenye jimbo la A. mashariki kama zao vile.wanapanga mikakati ya kuiba kura. wakati karibu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
poleni sana nliokuwa mnasema hafai kijana yule
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefuatilia mwenendo wa baadhi ya wizara na mawaziri husika nimegundua kuwa baadhi ya wizara za serikali hii zaweza kufutwa, aidha baadhi ya wizara zinaweza kusimama bila manaibu mawaziri na hata...
1 Reactions
1 Replies
950 Views
Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC)Jaji Mkuu mstaafu Bw. Damiani Lubuva akiongea na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa mikutano wa tume hiyo jijini Dar es salaam, kuhusiana na...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Mie kama mdau mkubwa sana wa Chama kuna uwezekano mkubwa kwa CDM kuchukua Jimbo la Arumeru Mashariki na pia ni aibu kubwa sana kwa sie Wanachadema tukishindwa Uchaguzi huu.Lamsingi kwa muda...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwanini kodi zetu zinachezewa hivi lakini?,hizi pesa zinazotelewa za ruzuku kwa ajili ya kampeni serikali iwe makini sana.Wanachokifanya TLP ni vituko.Wako na Kenta yenye rangi ya chama na...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Mtanzania mwenzangu wa Arumeru na kwingine kokote Tanzania usikubali kununuliwa kwa miaka mitano au hata zaidi kwa vijifedha au hongo ya aina yoyote bali kwa sera na uwajibikaji. Fikiria kama...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Jamani nilikua najaribu kupitia profile za hawa wagombea kuna huyu yeye kazaliwa kusini kuleeeeeeee.......kasoma kenya na uingereza leo anarudi nyumbani kudai anataka aongoze...sasa huyuuuuuuu cha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuhonga mawakala wa vyama vingine kwa gharama yeyote ili kuruhusu matokeo kubadilishwa. Hili linadhibitika ikiwa mawakala watasimamia maadili ya uwakilishi wa vyama vyao kwa uaminifu bila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nasema hv caz zis tz we ar goin 2 be down everyday xo our gvt nids 2 be very carefuul thin dat u know wat am sayiny guys xo kama viongoz wame fail ku ride dis country watuachie sisi coz tunaweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gudluck ole medeye naibu waziri wa maendeleo na makazi. anawahada wananchi wa arumeru mash kuwa sioi akipata ubunge atowapatia wananchi aridhi.wakati kwake amechukua shamba la luck luck yeye na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilianza hivi 1..DAI LA KWANZA KURA 14854 HAZIJULIKANI ZILIKOTOKEA WAKATI WA MAJUMUISHO Wakili upande wa mlalamikaji; siku ya kutangaza matokeo ulikuwepo? Hawa: Sikuwepo Wakili: kwanini...
29 Reactions
110 Replies
10K Views
Mwaka jana kipinidi cha bunge la bajeti, tulitajiwa na waziri wa fedha bajeti ya mawaziri matirilioni mengi. Mimi nilijiuliza kuwa fedha hizi zinatoka wapi? Mpaka wizara za nishati na madini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TABIA MBAYA SANA Kuna wanadam wana akili zilizochoka kweli kweli hawa wenye mashirika ya Tafiti pale wanapofanya tafiti za Kikampeni(sio kisiasa).. Kwa mujibu wa maelezo niliyoyapata kutoka kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…