Highness:"CCM ilienda na Nyerere, iliyobaki ni Danguro tu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Highness:"CCM ilienda na Nyerere, iliyobaki ni Danguro tu"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaseko, Mar 22, 2012.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbunge huyo wa Jimbo la Ilemela ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Ibanda ya juu- Kata ya Kirumba saa 11:27 jioni ya tarehe 22.03.2012.

  Kasema toka awe mbunge Katika Kata hiyo anahangaika na matatizo ambayo yana miaka 50 yeye anapokutana nayo hushughulikia ndani mda mchache,akatolea mfano wa suala la madawati katika shule za msingi na sekondari alikuta mchango dawati moja Tsh 80,000/= na ameupunguza mpaka elfu thelathini.

  Miundo mbinu ilikuwa mibovu lakini kwa sasa barabara nyingi zinapitika hasa milimani ambako wanakaa wapiga kura wengi ndani ya Jimbo lake.

  Amesema huwa hana utani kwenye suala la maendeleo. Amesema anakutana na changamoto nyingi sana na anajitahidi kukambiliana nazo sababu yeye yupo kwa ajili ya kuwatetea wana Ilemela kuyasemea bungeni ambako anamini kuwa ndio kwenye majawabu ya kero za Wananchi wa Ilemela.

  Katika hatua nyingine amemshangaa mbunge wa Rorya kwa kitendo chake cha kumpigia kelele jimboni kwake kwa kumwambia yeye si kero za wanarorya na kumtaka awasee wanarorya pindi akiwa bungeni huwa hasemi chochote na kudai kaingia bungeni ili kufanya biashara zake na si kuwatetea wananchi wake.

  Akawaambia wanakirumba kuwa kama mbunge huyo ameshindwa jimbono kwake ataweza kushughulia mambo ya Kirumba?
  Mbunge huyo alienda mbali na kusema endapo CCM itashinda Kirumba atajiuzuru Ubunge lakini Wananchi waliokuwa mkutanoni walimwambia asiwe na wasiwasi sababu huwa wanaformula moja tu kwenye Uchaguzi katani kwao ya kwamba.

  "Huwa wanatia stori CUF,Wanakula CCM na Huwa wanapiga kura kura CHADEMA"...... sababu chadema wana MUNGU na CCM wanapesa.........na CCM Mwanza ilshakufa na kuzikwa kwenye masanduku ya kura tangu mwaka 2010 wanachokwenda kufanya ni kutimiliza maandiko tu.

  Kutoka uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kirumba nawasilisha......................
   
 2. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Jamani ukitaka kujua kama CCM haitakiwi Mwanza Karibuni Kirumba.
  Mji mzima boda boda zote ni CDM hadi Mwaloni ukionekana umevaa kanga au kiremba cha CCM utakiona ca moto,
  Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  Fisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  EPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  nitakuja kupiga kura huko. Nasubiri siku tu, tiketi ipo tayari GREEN STAR
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Inapendeza mbunge anapokuwa straight kama hivi. Hongera mkuu ongeza speed wataahirisha tu kukufuata maana mbio zimewaishia!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nyerere alikufa na ccm, mkapa kaizika.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Najisikia huruma sana kwa mgombea wa CCM bwana Jackson Robert maarufu kwa jina la MASAMAKI...CCM wamemtelekeza sasa anasaidiwa na Lameck Airo pekee mbunge wa Rorya mwenye biashara zake jijini Mwanza...wote wawili hawana uwezo wa kujenga hoja matokeo yake wanaishia kununulia vijana viroba na kutembelea vilabuni wakinunulia watu pombe na kuwagawia hela.
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa Highness,c.c.m ilikwenda na Mwalimu,sasa limebaki danguro la matapeli na wahuni tu wapiga porojo
   
 8. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  CCM ya nyerere haikuwa inajenga nchi bali jina lake tuu litukuzwe ,lakini CCM hii ya sasa inajenga nchi vizuri sana , inawatafutia watu kazi na inamwaga ma university graduates wengi sana kila mwaka. muda wa kutukana wamarekani , wa israel na waingereza kila mara majukwaani umekwisha sasa ni muda wa kujenga nao urafiki ili watuinue ktk soko la ajira.
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  C ccm walimuua
  nyerere!
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,715
  Likes Received: 17,763
  Trophy Points: 280
  Kwenye hilo danguro kuna Nape na Lowasa, sasa nani ni nani kwenye danguro, nani anampa huduma gani mwenzie,kule arumeru kuna mtu katoboa sikio, huyu ni nani kwenye danguro
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu maendeleo ya nchi hayaji bila viwanda,Nyerere kaondoka kaaicha nchi na viwanda kadhaha,wananchi walikua wamoja wenye kupenda maendeleo ya nchi yao,hauwezi kusifia c.c.m ya sasa kwa kuuza viwanda,kuwaita hao unaowaona wewe kua wamekuja kutengeneza ajira(marekani na magharibu) wakati hao ndio wezi wakubwa wa rasilimali zetu!wananchi wameachwa wachuuzi tena wa bidhaha fake tena za nchi nje!unasema hao graduates wanaozalishwa kwa ubora gani wa kushindana na graduates wa nchi nyingne au kwa uwezo gani wa kujiletea maendeleo yao wenyewe au maendeleo ya nchi ki ujumla
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  hahahahaha, haya bana hilo danguro kuingia sijui gharama zake ni pesa ngapi :crazy:
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kikwete anaifanyaje vile? Bila shaka atakuwa anahitimisha matanga ili tuisahau kabisa.
   
 14. Encyclopaedia

  Encyclopaedia Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana Kaseko, binafsinimejiandikisha huko, kituo changu kiko Bugungumuki S/M...Nampongeza sana Highness (the manis very SMART).....Jack hana lolote na mbaya zaidi ana uswahiba na Ridhwani naMasha, so kumchagua ni kuchagua janga kwa wana Kirumba na kurudisha nyumaharakati za upambanaji na Maendeleo....Kaseko himizeni sana watu wajitokezekupiga kura kwa Danny Kahungu sababu nyuma yake kuna VICHWA with constructiveIdeas. Kaseko jamani kuweni makini sana naakina Mzee Kipara, Mzee Halfani na Mnubi maana nimeambiwa wanapita na kuombashahada za watu. Nenda pale Kabuhoro kuna Mzee anaitwa Makamba ndo ananifeeddata daily. Then, kuna Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Tawi anaitwa Chilo anafull mikakati ya CCM wanavyopanga na huyo Lameck kwa kusaidiana na msichanaflani hivi anaishi Songambele anaitwa Sharifa...naomba hawa watu wafuatiliwekwa Karibu ni Virusi.
   
 15. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuunganishwa ingia kwenye MENU- OPTIONS- ADVANCED OPTIONS- HOST ROUTING TABLE- bonyeza MENU BUTTON- REGISTER NOW. Baada ya dakika5 zima na kuwasha simu yako!
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu...taarifa hizi nazipeleka moja kwa moja kwa wahusika...Jitahidi uwe online tuta ku PM pia.
   
 17. N

  Noboka JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kama anachosema Highness ni sahihi basi wana kirumba mkichagua CCM laana itawatafuna. Mf. Kama kulikuwa na mahitaji ya madawati 2,000 na kila dawati Sh. 80,000= 160,000,000 (Wakati wa CCM) na baada ya CDM Madawati 2,000 @ 30,000 = 60,000,000. Kwahiyo wananchi wangeibiwa 160,000,000- 60,000,000= 100,000,000. Kumbe ndiyo maana CDM wakichangisha michango ya chama walalahoi wanaitikia. Ktk hilo kweli CCM limebaki ni dangulo. Binafsi kuna sehemu nimeenda serikaliya kijiji inayoongozwa na CDM fomu unajaziwa bure ila iliyo chini ya CCM unalipa sh. 1,000/=. Kuendelea kukumbatia CCM ni kama kukumbatia nyoka iko siku atakuuma tu
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hakika hii ni kauli ya kukata na shoka mbali na uhakika wa ukweli uliomo ndani yake.
   
 19. H

  HlydeDaue Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitakuja kupiga kura huko
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 20. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ni kuwakataa Magamba kwa vitendo, safi sana Mhe. Kiwia.
   
Loading...