MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Mie kama mdau mkubwa sana wa Chama kuna uwezekano mkubwa kwa CDM kuchukua Jimbo la Arumeru Mashariki na pia ni aibu kubwa sana kwa sie Wanachadema tukishindwa Uchaguzi huu.Lamsingi kwa muda uliobakia nawaomba mashambulizi ya sera yaelekezwE KWA WINGI maeneo ya vijijini ambapo wanakijiji wengi wanaonekana kuwanjiapanda haswa wazee ambao wameshaichoka CCM,hawa bado wanaiona CCM kama chama peeke mioyoni mwao.
Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa Chama ni vyema ukasaidiana na nguvu kazi yako maeneo ya kijijini tena kwa msisitizo wa kistaarabu kwa wazee wa kule.Mjini hatuna shida.
Nawasilisha
Kila la Kheri
Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa Chama ni vyema ukasaidiana na nguvu kazi yako maeneo ya kijijini tena kwa msisitizo wa kistaarabu kwa wazee wa kule.Mjini hatuna shida.
Nawasilisha
Kila la Kheri