Huajazaliwa Arumeru unataka uongoze vipi wewe? Kafanye kilimo kwanza kule............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huajazaliwa Arumeru unataka uongoze vipi wewe? Kafanye kilimo kwanza kule.............

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mirindimo, Mar 23, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Jamani nilikua najaribu kupitia profile za hawa wagombea kuna huyu yeye kazaliwa kusini kuleeeeeeee.......kasoma kenya na uingereza leo anarudi nyumbani kudai anataka aongoze...sasa huyuuuuuuu cha kwanza ataiba mpaka arudishe pesa aliyosomea,pili hajui Arumeru huyu atatusaidiaje jamani....jamani vitu vingine watanzania haviitaji tue na phd ili kujua kipi kinafaa kipi hakifai.....tunataka mtu anaejua watanzania,akatusikiliza na kutuelewa halafu wewe unatoboa masikio iweje???????? huo utamaduni hauko Arumeru njoo uimbe bongo flavour huku....yaaaani hapa nimejaa upepo natamani ku bust...............
   
 2. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mtajiju Arumeru
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu Sioi si niya yake ila ni mafisadi tu ndio wameamua kufanya hivi ilivyo.

  Lakini safari hii uchaguzi huu itawatowa udenda hawa mafisadi.

  Wanafikiri hii ni karne ya 11 bado.
   
 4. +255

  +255 JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Ulikuwa unajaribu, ebu kawe serious af uje tena kuandika ulichoandika.
  Unahukika gani atakuja kuiba? Umesema arudishe pesa aliyosomea, tuambia alikuwa anajilipia mwenyewe au alikuwa analipiwa na mzazi wake?
  Kwani kujua matatizo ya jimbo inahitaji kuchukua muda gani? Nyerere aliwahi kuwa mbunge wa Morogoro wakati hakuwa mkazi wa huko.
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  tatizo kuchakachua na tume yenyewe bado nia ya chama kimoja wkt tuko ktk mfumo wa vyama vingi
  bila kuvunjwa tume ikateuliwa tume mpya inayokuwa na uwakilishi sawa wa vyama bado tusahau demokrrasia tanzania
  tutazidi kuibiwa
  upinzani unganeni kataeni tume hiyo
   
 6. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Haya nshasoma na msg za mpango wa kugawa pesa alizokua anatuma yule jamaa sijui shemeji yake au kaoa naniii naniii wa kwao nimeziona zooooooooote au nizianike hapa......


  Unahukika gani atakuja kuiba? Umesema arudishe pesa aliyosomea, tuambia alikuwa anajilipia mwenyewe au alikuwa analipiwa na mzazi wake? [/QUOTE]

  Walioiba na wanaoendelea kuiba sasa hivi walijilipia wenyewe? Hebu waulize wizara ya Afya huko,na ile iliyokua inaitwa Richmond na zingine unazojua wewe......

  Hizi sio enzi za nyerere mambo yamebadilika .......uko sawa sawa wewe.........

  Shwaini kweli huyu analeta shudu hapa.....alietoga masikio kimasai ni tofauti na hawa masharobaro hii haihitaji nikuwekee picha hapa ili uone tofauti we wa wapi......hata wanavyosuka wamasai ni tofauti na atakavyosuka huyu jamaa yako baada ya kumpa ubunge.........

  Sema neno tunamwaga vyoteeeeeee
   
 7. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inaonesha kuropoka na kujifanya unanukuu vifungu na maelezo ya mwenzio ni jadi yako.Nenda kalale na ma c doa.
   
 8. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo mengine kwa kweli ni ajabu hata kwa chama chenyewe kusimamisha mgombea kama huyo! Kwanza elimu ni nyenzo muhimu katika kuifahamu jamii unayoishi na misingi yake, Na hapa ni lazima usome katika elimu ya jamii husika (Tanzania) ambayo imejengwa katika misingi ya kitanzania kwa malengo ya watanzania. Elimu ya Uingereza imejengwa katika misingi ya Kiingereza na kwa malengo ya waingereza. Huwezi soma elimu ya jamii tofauti halafu utumie elimu hiyo kuongoza jamii nyingine, hapa wana wa Arumeru shtukeni!
   
Loading...