Viongozi waitumbukize serikali yao na chama kwenye kashfa mpya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi waitumbukize serikali yao na chama kwenye kashfa mpya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Mar 23, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Imekuwa ni kawaida kwa viongozikupinga na kukanusha vikali tuhuma mbalimbali zinazo wakabili wao na hataserikali yao.

  Lakini kwa sasa imejithihirishawazi kuwa ni vigumu kuwatenganisha viongoz i hao naserikali yao katika kashfa hizo kwani kwa sasa ni kama maji na samaki.

  Mfano:Wakati wakati serikali ikijaribu kujinasua kwenye tope la ukabila udini na ukanda. Baadhi ya viongozi hao wamejiingiza kwenye tope jingine la ufamilia.Hapo ndipo huwa nashindwa kuelewa uwezo wao wa kufikiri,je wanatupima imani watanzania? Cha kushangaza haohao wanaohubiri chuki keshoutawasikia wako mstari wambele kukemea ukabia,udini,ukanda na sasa ufamilia, hiinatuaninisha kuwa wametumwa na tusiye mfahamu kutuvurugia nchi yetu lakiniswali ni je? kwa kwamaslahi ya nani?au wameona amani imezidi sana sasa mnatakakuipinguza?.

  Wakatamkapa akijaribu kujinasuakwenye kashfa zinazo mkabili bila mafanikio,amejikuta akijichafua kwakujihusisha na mabo ya familia isiyo mhusu ya mwalim nyerere,na kuambuliafezeha ambayo hakutegemea, wakati vyama vya upinzani wakimwandama kwa ufisadiserikali ilimtetea na kuwaomba wamwache mzee apumzike.wapinzani walikubali nakumwacha.sasa kilicho mtoa huko alikokuwa na kuanza kuwachokonoa walio lala ninini? wengi tulimwamini na kumwona mtu wa heshima kumbe hovyo.

  Wakati serikili ikijaribu kujivuakoti la ukabila na ukanda, ghafla akaibuka Ole sendeka na kuwakashifu CHADEMAkwa tuhuma za kumpeleka Visenti Nyerere arumeru kwaajili ya kumnadi Joshua Nassarina kudiriki kusema kuwa watu wa marawasiwachagulie wameru kiongozi,sitaki kuamini kuwa Ole Sendeka hakufikiria athiriza kauli yake hiyo.kwani chama chake na serikali yao imepeleka watu zaidi yahamsini ili kuwasaidia katika kampeni hizo na wengine wamewatoa Zanzibar swalini je? na hao tuwaiteje? Vipi kuhusu Wasira au nae ni mmeru? nini kimewapelekaArumeru tukiamza na Ole Sendeka mwenyewe huyu ni mmasai wa simanjiro,ninikimekuleta Arumeru au amepotea njia?

  Tuachane na hilo,kihoja kingineni pale WASIRA sijui ni kwa ulimbukeni wake,ushamba,na kujifanya mjuaji sana alipoamuakujivisha uchafu, kwa kununua kesi ya Mkapa na Visenti Nyerere.

  Alipo ona mtaji huo haujampaumaarufu wa kutosha,akaamua kuingiza udini kwa kulivaa kanisa KATOLIKI, swali ninalo jiuliza ni je?hayo maji anayotakakuvuka amesha ya pima kina? Wasira una taka kutupeleka wapi sisi wananchi? Kamauna ugomvi na DR, slaa kwanini unalihusisha kanisa na siasa,? au ni mwendelezo uleule wakukurupuka alafu badae waseme hawakumaanishakama kawaida yao?.

  Wasira umemwachia nani ofisi?

  Ikumbukwe kuwa huyu Wasiraametelekeza ofisi yake kama Waziri na kuingilia kazi zisizo mhusu, tangu linimawaziri wameanza kufanya kazi za chama? Je?hizi kampeni zinahusisha CHADEMA &SERIKALI? Au ni CHADEMA &CCM? Wasira rudi ofisini kwako ukaisidie serikali yenu maana haijiwezi,achakujivika majukumu ya chama ,kama kisingizio ni ulezi wa chama na ma DC watasemaje? Mstake kutuchanganyia habari. Ina sikitisha sana mawaziri kutalekezaofisi zao na kuparamia kampeni na kutoa ahadi mbalimbali hii si haki tunahitajiusawa katika kampeni mawaziri mnacho kifanya ni sawa na kubakademokrasia,kwanini kabla ya hizi kampeni hamkujitakeza na kutao hizo ahadi?

  NAWASILISHA
   
Loading...