Kampeni za TLP Arumeru zinatutia kichefuchefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za TLP Arumeru zinatutia kichefuchefu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 22, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini kodi zetu zinachezewa hivi lakini?,hizi pesa zinazotelewa za ruzuku kwa ajili ya kampeni serikali iwe makini sana.Wanachokifanya TLP ni vituko.Wako na Kenta yenye rangi ya chama na wamefunga bendera za TLP,wao kazi ni moja tu kutupigia nyimbo za Mr Nice kuanzia asubuhi mpaka jioni,wanazunguka kuanzia King'ori hadi Tengeru kutwa nzima.What is this?
  Mnajijua kabisa kwamba huku hamna mashiko.kwanini msiwe wastaarabu kama CUF walivyofanya?,tuondoleeni uchuro huku Arumeru...
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mbona nyinyi mlikwenda UZINI wakati mkijua for SURE kwamba UZINI hakuna CDM?
  Hiyo ndiyo ghrana ya democrasy buddy!
  Kwani Fahmu Dovutwa alikuwa na matumaini yeyote ya kushinda kiti cha urais JMT 2010?. Mbon aligombea tena akapewa ulinzi na serikali for 24 hours tangu siku ile tume ilipomuidhinisha kugombea kiti cha U-rais wa JMT.
   
 3. M

  Majasho JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wee said, hapa ndo napoona chadema ni wapuuzi na wabinafsi....yani saizi siasa wanataka wao na ccm tu.... mbona zanzibar mnapeleka wagombea.... democrasia ni ya wote you stupid ****** ata kama wakipata kura moja...

  haya moderater futa comment yangu and ban me since i am not pro chadema on this,,,,
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  sijaona mahali mtoa mada alipoitaja chadema! wandungu mna ny.ege na chadema!
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sio kweli mkuu mbona Dr Slaa amesema wana ngome kule uzini au sijamwelewa?   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sijui nikuite kaka au dada maana jina lako halina jinsia, kwanini isifike wakati tukajaribu kuwa wastaarabu? hivi unadhani kwa tabia kama hizi zitatufikisha kokote? najua wewe ni mwanachama wa cdm nakushauri utakapotumia lugha nzuri na laini utaweza kuwashawishi hata wale wasio wanachama wakawa wanachama lakini ukatumia maneno ya kishenzi wale ambao bado wana mashaka na chama utawakimbiza.

  We unadhani mleta mada ni kada wa CCM? kama angekuwa ni waccm sidhani angeleta mada hiyo hapa jamvini sometimes read between the lines bro na ujifunze ustaarabu kwani ustaarabu sio kuvaa vizuri na kuchana nywele (kuwa smart) ni zaidi ya hapo.
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Nafikiri mpuuzi ni wewe unayedhani kila member ni CDM kwa sababu yplus hajasema yeye ni CDM.
   
 8. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako hujui hata fedha za kampeni zinapatikanaje! Nani kakueleza kuwa fedha za kampeni ni ruzuku ya serikali? Hili ndilo tatizo la ulevi kutwa nzima!
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Umeona tusi hapo? hiyo ni lugha kali na mara nyingi inatumika kufikisha ujumbe kwa haraka zaidi kwa watu wennye vichwa vigumu kama wewe!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti taa ya oil inawaka ikizima TLP inapaki!
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sasa hapa mpuuzi ni nani kati yako na hao CHADEMA? Hivi mtoa maada amesema popote kwamba yeye ni CCM au CHADEMA? Umejuaje kama wazo hili limetoka kwa mwanachadema na si mwanaCCM. Haya ndo matatizo ya kutokujiamini. Kitu kidogo tu chadema hao, matokeo yake mnakurupuka kuongea hata msiyoyajua, mnaishia kuumbuka tu. Tumieni akili zenu kuchambua mambo kabla ya kuyaongea bwana.
   
 12. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Neno ulilolitumia sio tusi kwako? unaweza kumwambia mtu unaemheshimu kama dada au baba yako? Ustaarabu hauna gharama jitahidini muwe na ustaarabu ili mje kujenga nchi yenye manufaa. Sasa mkichukua nchi kwa maneno hayo hao watakao kuwa wapinzani si itawabidi wahame nchi?
   
 13. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  acha unafiki mjomba! Huyu hapa hakutukana?
  Au unazi wa kimagamba unakufunga macho kwenye mambo flani flani? Acha hizo:
   
 14. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nwashangaa mbona wanaongopa vivuli vyao?
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Nadhani unapaswa kujibu hoja na sio kuleta viroja.......ni wapi katika muanzisha thread hii alipojitambulisha kwamba yeye ni CHADEMA? au na wewe ni CHADEMAPHOBIAN?.......Huu ni upumbavu wa kifikra.
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hee kwani chadema kilishika nafasi ya ngapi??
  MAGAMBA AKILI HAKUNA KABISA!
   
 17. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chipaka (mgombea wa TLP) kwa maneno yake mwenyewe alisema anagombea ubunge ili akuze CV yake ingawa anajua atashindwa.
  2010 aligombea udiwani kwa Moromboo akashindwa.
   
 18. N

  Newvision JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You need to cool down jua kwamba kama mahali unaona huna kitu kaa pembeni tu huona kule Wenzetu wanavyofanya ? akishaona jimbo hili sina kitu hana haja ya kupoteza muda bali ni kwenda anakoweza TLP hapa sijui wanataka nini kama si kupoteza pesa zao za kuendeshea chama chao. This is reagardless of the the democracy we have we need to reason out!!!!!
   
 19. p

  politiki JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  i hate to admit but, you are right wana haki ya kufanya wanachokifanya ili mradi hawavunji sheria.
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Hivi mleta mada amezungumzia kuwa yeye ni CHADEMA? Mbona unakaa kutoa mawazo mavi hapa JF? Yaani wewe kila kitu ni CHADEMA tu..acha ujinga wewe ni mtu mzima tena mwenye famalia.Kufanya ujinga wa namna hii utaonekana kama kichaa.
   
Loading...