Matawi aliyofungua Dr Slaa chuo kikuu Saut-Mwanza yawa endelevu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matawi aliyofungua Dr Slaa chuo kikuu Saut-Mwanza yawa endelevu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Mar 23, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu ,heshima kwenu. Wiki iliyopita Dr Slaa wa ukweli alizindua ofsi za matawi ya Sweya ,Malimbe na Saut. Katika nasaha zake Dr slaa alikazia utumishi uliotukuka kwa viongozi dhidi ya wananchi. Mwezi uliopita balozi wa ccm mtaa wa Sweya alifariki dunia ambapo cdm ktk mtaa huu walichangia elf 69 tu kitu ambacho kwa level ya mtaa ccm wasinge weza fanya hivo.

  Leo tena ndani ya mtaa huo wa Sweya kumetokea msiba ambapo mzee mstaafu jeshi magereza-Butimba, Marehemu MALIMI alipata ajali maeneo ya Magu nakufa papopapo .Bila kujali itikadi kama kawaida cdm tawi hilo la Sweya chini ya uratibu wa m/kiti, kamanda Vedastus na Katibu mwenezi,kamanda Jose wametoa laki 1 kama rambirambi ambapo ccm hawajatoa kitu. Je kwa mkutadha huo bado cdm ni chama cha musimu?

  Je bado ccm ni chama cha wafanyakazi na wakulima au wafanyabiashara na matajiri a.k.a mafisadi? Hongera sana Dr slaa ! kaa ukijua kuwa ujio wako/ziara imekuwa productive na umma upo nyuma yako. MWL NYERERE KTK KITABU REFLECTIONS ON AFRICAN LEADERSHIP ALIPATA KUSEMA "IPO SIKU INAKUJA WATU WATACHAGUA KIFO KULIKO FEDHEHA, NA OLE WAO WATAKAO SABABISHA HAYO YATOKEE ."

  Naomba kuwasilisha .

  Source:MY NAKED EYES.
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hiki ndicho kitu kitakachokijenga chama huko chini kwa chama kushirikiana na watu wake.
   
 3. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja tunaweza. hongreni sana ,pia hakikisheni bali kinumba diwani wetu anapita
   
 4. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi nzuri sana makamanda wa MZA.
   
 5. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  cooked, am here,CCM wametoa ubani wa laki tatu na CDM wanawanachama sio zaidi ya 23 out of estimate population of 689 katika kijiji
   
 6. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha dhihaka kwa familia ya marehemu. Ujinga kuleta ushabiki ktk masuala ya msiba. Utalipwa hesabu yako kwa sababu ya unazi wa kijinga.
   
Loading...