JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

wwww

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
350
252
Kweli siasa ni mchezo mchafu. Unaweza kumsikia mwanasiasa anasema hiki ukafikiri anamaanisha kumbe ni kuhadaa wananchi tu, hii imedhihirika baada ya kupata tetesi kutoka Ikulu ya Dodoma kuwa anayeandaliwa kuwa Rais mwaka 2015 ni Edward Lowasa na sio Asha Rose Migiro wala Amani Karume.

Mtoa habari hizi ameeleza kuwa mipango hii inafanywa kwa ustadi mkubwa sana kiasi kwamba sio rahisi watu kufahamu kinachoendeleo hivi sasa.

Ameendelea kusema, mbinu alizozifanya na atakazoendelea kuzifanya ni pamoja na;

  1. Kujifanya ni adui mkubwa wa Lowasa kwa sasa ili watu waamini hivyo
  2. Kumlejesha Asha Rose Migiro nyumbani ili aanze kuonekana kwa watu ambapo hivi karibuni atamteua kuwa mbunge na hatimaye waziri (Kumbuka JK bado ana nafasi 7 za wabunge, zilikuwa zinamsubiri mama huyu).
  3. Hata mabadiriko ya baraza la mawaziri lililoandikwa sana kwenye vyombo vya habari lilikuwa linamsubiri Asha.
  4. Anasema, '' UKWELI NI KWAMBA ASHA HAADALIWI KUWA RAIS BALI WAZIRI MKUU''
  5. Ananiambia, Siri ya JK na Lowasa ni kubwa Mno mpaka uijue unakuwa umeaminiwa sana na hawa watu.
  6. Lowasa atajulikana mwishoni kabisa kwenye maamuzi ya CC ambayo mtu pekee wa kuamua ni JK mwenyewe kwavile hana mtu mwingine wa kumpinga mle.
  7. Kuwaondoa Marais wastaafu kwenye CC ndiyo ulikuwa mtihani wake mgumu sana na sasa kafaulu na baada ya mchakato huo wazee hao watarudishwa tena CC.

Nawasilisha.
 
Mkuu mtoa habari wako yuko Chamwino?
 
hiyo kweli tetesi
 
Hivi wana JF hatujui maana ya tetesi? Habari zote huanza kama tetesi
 
Hii dharau juu ya wananchi itatufikisha pabaya huko mbeleni. Yaani sisi wananchi ambao ndio waamuzi wa nani awe rais kupitia sanduku la kura hatujatajwa kabisa na mtoa mada pamoja na mtoa tetesi huko chamwino. Labda mamvi aingie madarakani kijeshi au daftari la wapiga kura libakie hili hili kama walivyokataa kuliboresha kule Arumeru
 
uchakachuaji ni mladi wamagamba ndugu!
 
Japo nami siwapendi magamba bt in a political analysis point of view, intelegencia/tetesi hyo NAIUNGA MKONO!Japo najua CDM watachkua PALACE 2015!Lets wait
 
Ahadi yao waliahodiana, kwamba akitoka jk anaingia lowasa c mnajua tena hela za epa zilitumika kuiweka ccm 2010 madarakani. Kama jk asipokubali lowasa kuwa raisi siri itafichuka, kwa hiyo itabidi jk akubali tu hana jinsi. Kwa hiyo endapo lowasa atakuwa rais atamlinda jk na tuhuma za epa.
 
Hii postingebandikwa mwaka 2006 hivi ningesema ni kweli, lakini kwa sasa HAPANA sio kweli hata kidogo.
 
inawezekana kwa kwa magamba lakini kwenye

sanduku la kura atakuwa na makubaliano na

wapiga kura wote?
 
Back
Top Bottom