Mtanzania mwenzangu wa arumeru usikubali kununuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania mwenzangu wa arumeru usikubali kununuliwa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Livanga, Mar 23, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mtanzania mwenzangu wa Arumeru na kwingine kokote Tanzania usikubali kununuliwa kwa miaka mitano au hata zaidi kwa vijifedha au hongo ya aina yoyote bali kwa sera na uwajibikaji. Fikiria kama akikupa leo anatao mfukoni kwake kesho atataka kuzirudisha atakukumbuka tena kweli? TAFAKARI kisha CHUKUA HATUA
   
Loading...