Baadhi ya wizara zifutwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya wizara zifutwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nashy, Mar 23, 2012.

 1. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimefuatilia mwenendo wa baadhi ya wizara na mawaziri husika nimegundua kuwa baadhi ya wizara za serikali hii zaweza kufutwa, aidha baadhi ya wizara zinaweza kusimama bila manaibu mawaziri na hata nyingine zaweza kusimama na manaibu mawaziri bila mawaziri.

  wizara anayoiongoza wasira haina naibu waziri, na Tyson huyu yuko Arumeru mwezi mzima nani anaendesha wizara?

  hivyo basi haina umuhimu yafaa kufutwa. Wizara ya Mwandosya, tangu ateuliwe ni mgonjwa, na mambo yanaenda ofisini, hivyo basi hata pasipo naibu waziri wizara hii itakwenda tu. Hizi ni baadhi tu, waweza ongeza na orodha ya wizara zingine
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizara ya Afya haina waziri wala naibu, ifungwe hata leoleo.
   
Loading...