Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatimaye mgombea wa udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kirumba, ndugu Jackson Robert Masamaki ameshindwa kuongea jukwaani! Wakiwa ktk kampeni ya kunadi sera zao ndani mtaa wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ugiriki ni moja ya nchi zilizoendelea duniani ikikisiwa kuwa ni 27th in the world kwa ukubwa wa kiuchumi duniani (World Bank, 2009). Kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita Ugiriki ilikuwa ni moja ya...
11 Reactions
23 Replies
4K Views
makada wenye mvuto mkubwa ndani ya ccm anna kilango,nape mnauye,waziri magufuli,mzee sitta na james lembeli wanatarajia kupiga mikutano ya lala salama katika jimbo la arumeru kuungana na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wakuu hii imekaa vipi? Nilikuwa nawatch tbc naona habari kuwa kituo cha mafuta cha serikali kimetoa mafuta ya petroli yaliyochakachuliwa.... Sasa kama kituo cha serikali kinatoa mafuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona mheshimiwa rais akiwa mkoani Iringa hii inanifanya nijiulize kwa nn ametembelea mkoa huo zaidi ya mara 7 tangu achaguliwe wakati mkoa wa jirani Mbeya...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
ishara ya vidole viwili inayofanana na herufi V ni ishara inayotumiwa na watu wanaotaka mabadiliko.hapa nchini ishara hii hutumiwa na chama cha chadema ikiwa ni alama rasmi iliyopamba bendera ya...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
tukio hili limetokea leo saa nane mchana baada ya vijana watatu waliokuwa na scarf za chadema na vitambulisho vya kuvaa shingoni vya chadema kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea wa ccm...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akihutubia mikutano ya kumnadi mgombea wake Joshua Nassari juzi na jana, ametoa mwaliko kwa wanachama na wafuasi wote wa chama hicho kwamba wafike kwenye...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
KWA siku kadhaa zilizopita, Watanzania wamepokea taarifa za kushangaza za kuwepo kwa habari za kupikwa zinazolenga kuleta uchonganishi na uvunjifu wa amani miongoni mwa viongozi wa vyama vya...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
wadau......mnaotoka jimbo la segerea huenda ukarudiwa kutokana.......matokeo ya ubunge jimbo hilo .....la segerea hii inatokana na kesi aliyowakilishwa na fred....mpendazoe......na mashaidi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama kuna vitu JK ameshindwa kujigundua ni uteuzi wa mshika bendera wake SOPHIA. Hebu nisaidieni kama kuna hata chembe ya zuri alilowahi kulifanya katika maisha yake. manake kila siku yeye...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mgombea wa CCM Sioi Sumari ameendelea kukonga nyoyo za wana Arumeru leo baada ya kuhutubia maelfu na maelfu ya wananchi wa Arumeru leo na kuvunja rekodi kabisa ya Chadema katika mji wa USA River...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Posted by GLOBAL on March 21, 2012 at 4:18pm View Blog TAARIFA YA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA FAMILIA YA WILLIAM SHELUKINDO KUHUSU UBUNGE JIMBO LA BUMBULI MKOANI TANGA Kumezuka taarifa za...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Leo jioni mida ya saa 12 wakati wana CDM wakiwa Ngomeni kwao Elephant Logde wakiusubiri Msafara wa Mgombea ubunge wao toka Maji ya Chai, Alipita Binti mmoja akiwa amejifunga Scurf ya CCM na...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Heshima yenu wakuu! Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa kujua kituo cha kupigia kura kwa njia ya mtandao, nimesikia maelekezo yakitolewa Tbc 2 sikuwaelewa vizuri, hoja yangu ndio hiyo, niko...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF kuna jambo la ajabu sana hapa Meru leo Afisa ardhi wa wilaya na mwingine kutoka Makao makuu wanapita na Mkuu mtarajiwa wa Kaya wakishawishi woote wenye Migogoro ya ardhi watarejeshewa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kampeni za Igunga zilituacha wana chadema na msiba wa kada/wakala wetu alie uwawa na wanaccm... Natambua jukumu la kulinda watanzania ni la serikali ya CCM na si la CHADEMA lakini hatuwezi kukaa...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Mbunge CCM kortini kwa rushwa Mbunge wa Muheza (CCM), Herbet Mntangi Mbunge wa Muheza (CCM), Herbet Mntangi, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KWA siku kadhaa zilizopita, Watanzania wamepokea taarifa za kushangaza za kuwepo kwa habari za kupikwa zinazolenga kuleta uchonganishi na uvunjifu wa amani miongoni mwa viongozi wa vyama vya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…