Bohari kuu ya serikali na mafuta yaliyochakachuliwa

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,311
wakuu hii imekaa vipi? Nilikuwa nawatch tbc naona habari kuwa kituo cha mafuta cha serikali kimetoa mafuta ya petroli yaliyochakachuliwa.... Sasa kama kituo cha serikali kinatoa mafuta yaliochakachuliwa vipi vituo binfsi?
 
Comrade hii ndiyo Tanzania iliyobaki watu wakiambiwa wanashupaza shingo zao ona sasa kama walichakachua mafuta ya gari ya jk kule moshi watashindwa hayo? mkuu mwenyewe amechakachuliwa
 
hivi wasemaji wa serikali siku hizi ni wenyeviti wa kamati za bunge?

Yaani, kama aliyeongelea hilo swala hajahusika kwenye uchakachuzi, nitashangaa sana.

Ilikuwa kama kajiwahi ili tusisikie nini sijui, hope am wrong here!
 
tanzania kila kitu kinawezekena..hii nchi haina mwiko.!!
 
mafuta yenyewe grade ya chini lakini nayo bado twachakachua....kweli sie vimeo.
 
Back
Top Bottom