Kijana wa cdm apata kipigo baada ya kuupiga mawe msafara wa sioi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana wa cdm apata kipigo baada ya kuupiga mawe msafara wa sioi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by BigMan, Mar 27, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  tukio hili limetokea leo saa nane mchana baada ya vijana watatu waliokuwa na scarf za chadema na vitambulisho vya kuvaa shingoni vya chadema kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea wa ccm uliokuwa unaelekea katika kijiji cha sing'isi ghafla msafara ulisimama na vijana kutelemka na kuanza kuwafukuza vijana hao walioingia migombani waliweza kumpata mmoja ingawa kati ya vijana hao wa ccm mmoja aliyefahamika kwa jina la majeshi alichanywa na chupa ya konyagi aliyekuwa naye huyo kijana wa chadema,baada ya hapo klijana huyo alipigwa vibaya ikiwa ni pamoja na kutandikwa nondo kichwani kabla ya kuokolewa na askari polisi na kuondoka nao.katika mkutano wa sing'isi wanachama na viongozi kumi na mbili wa chadema walirudisha kadi na vifaa vya ofisini na kujiunga na ccm
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Masaburi at work!
  Hao vijana wa Ccm nondo walikuwa nazo za nini?
   
 3. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Safi sana, lazima kukomesha huu uhuni wa machalii wa CDM ktk kampeni.
   
 4. B

  BigMan JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kujilinda na uhuni wa chadema
   
 5. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  .................Jambo la maana hapa ni kugawa bunduki kwa vijana wote wa chadema na ccm mambo yaishe...........
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kumbe nawewe ni muhuni, ok sishangai ulichoandika.
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Ukiwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu!
   
 8. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Aina yoyote ya siasa inayotufanya kuwa wajinga kiasi cha kupigana kuumizana ni siasa chafu isiyofaa kwa taifa letu haijalishi watu ni wanazi kiasi gani kwa vyama vyao haiwezi kuwa sababu ya ninyi kuumiza mwisho wa siku wanasiasa watarudi makwao tena kwa usafiri wa uhakika ninyi mtabaki na vilema bila uwezo wa kutunza familia zenu hakuna sifa yoyote katika taarifa kama hizi. Hapa nasema wana-ccm na wana-cdm wa Arumeru acheni ujinga fanyeni siasa za kistaarabu kwa manufaa yenu na vizazi vyenu. Hamkujifunza Igunga?? Yule kijana aliyemwagiwa tindikali amepata faida gani zaidi ya kuwa onyesho kwenye sherehe za ccm pale Mwanza. Watch out guys
   
 9. w

  wa home JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hakuna tukio km hilo, we gamba mbona unaeneza uongo namna hi kiongozi yupi wa chadema alierudisha kadi? Hacha uongo gamba wee.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa peleka stori kwa shigongo itauza sana hii
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Source!

  Ama mafisadi at work!

  sisiem wanapumulia ICU!

  Hawana mbinu tena!
   
 12. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  tutajie kwa majina na kazi zao za chama hao viongozi waliorudisha kadi
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Tangu lini mtu anapoenda kufanya uhuni anavaa scarf ya chama chake? Only Mwigulu alivaa scarf shingoni wakati anamla mke wa kada mwenzie haya mengine ni uhuni tu. Hata Igunga mlifanya uhuni wa kuchoma banda la kuku la kada wenu mkasema CDM wamechoma nyumba
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Sing'isi ni moja ya kijiji kilichosahauliwa na ccm. Hakuna mtu wa Sing'isi anaweza kujikomba kwa ccm, labda wa kupikwa.
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mungi wewe hubanduki kwenye jf?
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bigman uendelee na moyo huo huo hata siku ya kutangaza matokeo.
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona tunagongana wote kwani nakukosesha nini? Jf is home away from my home.
   
 18. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yupo kwa ajili ya kuclear doubt za magamba, maana siku hizi yamezidi kuwawasha.
   
 19. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Nyie ccm acheni ujinga si mkachukue mapanga ya mapinduzi znz kabla hayajaingia kutu?msisahau na ile kaulimbiu yenu ya nginjanginja mpaka baharini!
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  NImejiulizaaaaaaaa nani? Kumbe
  ? Sina swali!!!!!!!!!!!
   
Loading...