Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamiiforums nimesikia kuwa serikali imepeleka mahindi ya msaada Arumeru Mashariki.Swali najiuliza kama kweli kuna haja kihivyo kupeleka msaada Arumeru Mashariki, kwa nini wakati huu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu! Kumekuwa na kawaida ya jeshi la polisi kudai kitambulisho cha mpiga kura kama kigezo mhimu cha mtu kupata dhamana ya polisi. Hali hii imepelekea vijana wengi kuathirika kwa kupoteza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maneno haya niliyakuta kwenye moja ya majibu ya utetezi wa Ben Sanane humu JF kwenye thread moja ambayo ghafla nisivyotarajia thread ile ilifutwa na sikuona mabaki yake na sijui imepoteaje...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tue, Mar 27th, 2012 Tanzania | Tue, March 27th 2012 Managing Editor of the Mwananchi Communications Limited (MCL), Mr Teophil Makunga The group Managing Editor of the Mwananchi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napendekeza katika katiba mpya kiwekwe kifungu kitakacho wabana wabunge na kuwaengua, iwapo watakosa kuwatumikia wanajimbo waliomchagua. Nasema hivyi kutokana na tabia ya mbunge wangu wa rombo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ONCE A WISE PERSON BY THE NAME OF JULIUS NYERERE SAID "THE PROBLEM IS NOT OTHER POLITICAL PARTIES OVERTAKING CCM,BUT THE PROBLEM IS FOR HOW LONG WILL CCM STICK TOGETHER".....Today,there is no...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Uandishi wa Kitabu cha Marehemu Regia Mtema (Biography) Kamati Teule iliyochaguliwa kuanzisha Taasisi ya Regia Mtema Foundation imedhamiria kufuatilia kuandikwa kwa kitabu cha Marehemu Regia...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Ilikuwa jumamosi jioni,walipoingia kwenye kibasi wakiwa wamejitanda khanga mbili mithili ya watu waliotoka msibani walipo ulizwa walijibu kwa kifupi wametoka msibani kuizika CCM.wakiwa bado kwenye...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea Msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Kwa muda sasa nimekuwa niki-tune TBC1 kwa ajili ya taarifa ya habari na zaidi ile ya saa mbili usiku. Jana nili-tune televisheni ya ITV. Nilijikuta nikibaki kwenye kiti karibu kwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Closed
Baada ya kuona jahazi linaelekea kuzama hatimaye mh lowassa ameamua kuingilia kati,habari za kuaminika zinasema kwamba yupo kwenye mazungumzo mazito na wazee wa kimila wa arumeru(washili)nyumbani...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
magamba yamepanga kuishitaki cdm kwa kitendo cha kupaka wanja na kuchora alama ya helen kwenye picha ya mgombea wao ,
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona hapa mjini kuna hekaheka za usajili wa chama kipya,naona mida hii ndio wanapita hapa posta... ila naona bendela yao rangi hazitofautiani sana na ya chadema.... CDM jiandaeni
0 Reactions
29 Replies
3K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida,ule uvumi wa CCM kukodisha watu kuleta vurugu umetimia.Kundi hilo jioni ya leo maeneo ya Leganga limevamia msafara wa CDM na kumkata kijana mmoja na jambia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr Limbu,ulipewa unaibu wizara ya maji ukashindwa kuwafikishia maji watu wa jimbo la Magu pamoja na jimbo kuwa kando kando ya ziwa vikitoria,hivi sasa umeanza kuwapiga usanii wananchi kwa ghiriba...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Ndugu wanajamvi Nikiwa nimejipumzisha nyumbani kwangu naagalia DAKIKA 45 ya ITV akiwa anahojiwa naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. ameongea mengi lakini alipoulizw kutoa...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Jana usiku nilifurahi sana. Nilikuwa natazama Mlimani TV mtangazaji alikuwa anapita maeneo mbalimbali kuzungumza na wananchi. Alifika mahali fulani akamhoji mjumbe wa CCM. Alinikuna sana kwa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wnajamvi wenzangu, kuna wakati huwa nakaa na kutafakari kwa kina juu ya viongozi wetu wa CCM na kujiuliza maswali mengi saana, je kuna kiongozi leo hii wa CCM anayeweza kuaminika kabisa either awe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimetafakari kauli zinazotolewa na viongozi wa CCM kwenye kampeni za chaguzi ndogo za Ubunge nimegundua hawana sera na huwenda wanatumia masaburi kufikiri, mfano:- "....Mchagueni sioi akapiganie...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Back
Top Bottom