Nape- tumesha shinda Arumeru

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.
 
Mkumbusheni kampeni ziko Arumeru sio Dar. asisahau mtaji wa CUF ulivyoyeyuka kule Igunga.
 
Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.
Atuambie maana ya uchaguzi! yeye kajuaje wameshinda,mi naomba cdm wajiandae kuwapeleka magamba mahakamani kwa sababu inaonekana wamesha panga matokeo kabla ya uchaguzi
 
Anasema CHADEMA wanajifariji kushindwa na wamesha shindwa vibaya CCM imeshinda kwa kishindo
 
Nape anasema hivyo kwa sababu anajua fika kabisa CCM haiwezi kushinda na CCM piga ua galagaza ni lazima ichajachue sasa sijui kama watafanikiwa.
 
Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.
Kweli hayo ni makalio, kwani kura zitapigwa na hao madiwani 17 basi?
 
Wale wageni wa ccm toka Africa kusini wameleta kura ambazo zitaingizwa kinyemela huko arumeru.Chadema kaeni macho na muwe makini sana
 
Akiongea na Wapo radio jioni hii Nape anasema wamesha shinda Arumeru kwa kishindo kwani wana madiwani kata zote 17 kwa hiyo wameshinda kwa kishindo wanasubiri kutangazwa tu washindi.

Wapo redio,uhuru,mzalendo,sauti huru..... Gamba gumu!
 
Kesheni lindeni kura mpaka asubuhi ila ushindi ni magamba. Bora mkalale tu msing'atwe na mbu. Someni alama za nyakazi.
 
Nape atafurahi sana CDM ikishinda, huenda ndiye anayevujisha siri za chama chake kumkomoa Laigwanan na mkwewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom