Uchaguzi mdogo Jimbo la Segerea unanukia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mdogo Jimbo la Segerea unanukia...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by C Programming, Mar 26, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,764
  Trophy Points: 280
  wadau......mnaotoka jimbo la segerea huenda ukarudiwa kutokana.......matokeo ya ubunge jimbo hilo .....la segerea hii inatokana na kesi aliyowakilishwa na fred....mpendazoe......na mashaidi waliotoa ushaidi huenda uchuguzi ukarudiwa...
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kura za jimbo la Segerea zilichakachuliwa kwa 100%.
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,764
  Trophy Points: 280
  naona baada ya arumeru sasa tujiandae.....na jimbo la segerea
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Taharifa ni hipi hapo mkuu ? me naona maruerue tu
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  Hata haya yako ni maluweluwe
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Urudiwe tu haki itendeke.
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Udanganyifu alioufanya Mahanga kwenye uchaguzi mkuu jimboni ni hapo ni tusi kwa misingi ya demokrasia hakuna mfano wake.

  Ningependa mahakama kuwalazimisha watu wanaoingia bungeni kwa udanganyifu kama huyu kurejesha fedha zote na mafao mengine atakayokua amejipatia kutokana na udanganyifu wake huo.

  Hadi hapo ni kwamba ni wapiga kura pamoja na walipakodi ni wazi kwamba tumetapeliwa.
   
 8. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ingefaa kabisa kuwa na jinai kwa mtu yoyote atakaye patikana na hatia ya kuchakachua matokeo kama huyo bwana mahanga na wenzake wote magambaz
   
 9. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  angalia tarehe 4/4/2012 isije ikawa arusha mjini kwanza kabla ya segerea.
   
 10. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280


  huu wa arusha uje tu ni hamu ya kula hela za magamba
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hapa moto utawaka
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ndoto za jinamizi zinaruhusiwa kwenye siasa tuendelee kuota lakini uamuzi wa mwisho ni wa hakimu
   
 13. O

  Original JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo hakimu kama hataki kazi yake basi tuonr kama atabsdilisha matokeo. Ccm itamfukuza kazi.
   
 14. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  arusha tayari mna uamuzi,segerea uamzi ni wa hakimu,duh kweli kuvaa gamba kazi kwelikweli
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi unatakiwa urudiwe Segerea,Karagwe,Shinyanga mjini...
   
 16. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tusitoe maamuzi kwa kesi iliyo mahakamani. Huo ndio utawala wa sheria.
   
 17. C

  Christiano Ronaldo JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanza mpaka ushahidi wa mpendazoe unakamilika hawakutoa hata ushahidi mmoja mezani kwa jaji, hivyo huyo jaji anafuta matokeo kwa vigezo gani? Kwa nini hamfuatilii kesi mahakamani, mnabaki kuchonga tu humu jamvini? Halafu huyo mahanga mnayesema aliiba kura mnajua hana hata shitaka moja mbele ya mahakama linalomhusu yeye kama yeye? Ati mnajiandaa kwa uchaguzi! Wishful thinking!
   
 18. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Masikini hela zetu walipa kodi
   
 19. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hiyo nimeiona mkuu!
   
 20. A2 P

  A2 P Senior Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Igunga na Arumeru kumewatoa magamba jasho. Watakubali au watalazimisha kupindisha hukumu?
   
Loading...