Msaada wa kujua kituo cha kupigia kwa njia ya mtandao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kujua kituo cha kupigia kwa njia ya mtandao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ptz, Mar 27, 2012.

 1. P

  Ptz JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Heshima yenu wakuu! Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa kujua kituo cha kupigia kura kwa njia ya mtandao, nimesikia maelekezo yakitolewa Tbc 2 sikuwaelewa vizuri, hoja yangu ndio hiyo, niko safarini kuelekea Arumeru kutimiza haki yangu ya msingi kikatiba. Ni mimi mpiga kura!
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
 3. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nidipu nikuelekeze
   
 4. P

  Ptz JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Asante mkuu, nimefanikiwa kuona kumbukumb u zangu, sasa nina hakika ya kupiga kura.
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine muwe serious kidogo si kila jambo ni la utani !
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Huu ni upuuzi! Bora ungeupeleka kwenye familia yenu!
   
 7. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  akudipu???? makubwa!! akubeep!
   
 8. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  generally hapa JF hakuna swala la utani hata moja ukiona wanaoleta utani hawajui wafanyalo nafikiria watu kama hawa wangeanzishiwa ban ili kuchuja mchele na pumba
   
Loading...