Kilango,nape,sitta na magufuli kutinga arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilango,nape,sitta na magufuli kutinga arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by BigMan, Mar 27, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  makada wenye mvuto mkubwa ndani ya ccm anna kilango,nape mnauye,waziri magufuli,mzee sitta na james lembeli wanatarajia kupiga mikutano ya lala salama katika jimbo la arumeru kuungana na mpambanaji mwenzao ole sendeka na lusinde na mwigulu.

  lakini pia kutokana na propaganda inayoendezwa na chadema kwmba jembe sioi amejitoa katika maeneo mbalimbali,ccm sasa inatarajia kurusha chopa ili kukanusha madai hayo
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  source..????
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  watatue tatizo la umeme kwanza linakokabili nchi kwa miaka zaidi ya 50 sasa baada ya uhuru,kila siku ni dharura kabla ya kwenda arumeru
   
 4. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  unakimbia au unakimbizwa.s>>>z
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  it is too late to catch a fast train!
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mzee Sitta si atakuwa amejilipuwa mwenyewe?
   
 7. w

  woyowoyo Senior Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm 80% chadema 17% tlp 2%
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nadhani wengi hatuijui tabia ya wameru.
  Ni watu wenye msimamo wa kupitiiza,hata kabla ya kampeni kuanza walishaweka msimamo!
  Propaganda,vitisho au ulaghai havitabadilisha msimamo wao
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wanamvuto??
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huu nadhani ni uzushi kwasababu sioni scenario ambayo itamfanya Sitta aunge mkono hii project ya Lowassa huko Arumeru, he will be committing suicide; hata Nape sidhani angekubali kwenda huko kwani wanaweza kumfanyia kitu kibaya wale wafuasi wa Lowassa project!!
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  zile sheria za uchaguzi alizosaini mkubwa zilikuwa ni kwaajili ya uchaguzi wa 2010 pekee au vipi?
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Who cares? Yashawashinda haya maji kuyaoga hawawezi!!!!!!!!!!!
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Lembeli, Sitta na Anna Kilango basi huenda Mwakyembe na Stella Manyanya nao wakaenda! Naamini Kimaro hataenda huko nasikia walimfanyia kitu mbaya kwenye shamba lake
   
 14. O

  Original JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  majimboni mwao yamewashinda sasa wanakimbilia arumeru?
   
 15. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Dah! Sitta usithubutu kwenda huko, utashusha hadhi yako.
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanakuja kuzindua tawi la CCJ au CCK? Ni vizuri naona wakaja ili aibu iwe ya wote wasije jisifu baadaye.
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Upo dsm unarusha matokeo ya Arumeru kweli picha za michuzi blog kiboko!
   
 18. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hadhi ipi?
   
 19. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Anne kilango hana uzalendo wowote yeye huwa analia kukumbuka fedha alizo nyanganywa kule msamvu 2005 kabla ya kupitishwa mgombea wa magamba hivyo bigman husitaili kumwita mpambanaji kwanini hakwendaga polisi kushitaki? makanda wa chadema wamchape hicho kigongo tumsikie
   
Loading...