Arumeru Afisa Ardhi apita na Lowasa kufanya Kampeni

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF kuna jambo la ajabu sana hapa Meru leo Afisa ardhi wa wilaya na mwingine kutoka Makao makuu wanapita na Mkuu mtarajiwa wa Kaya wakishawishi woote wenye Migogoro ya ardhi watarejeshewa Ardhi yao kama watamchagua Siyoi
Najaribu kujiuliza kama mawaziri na maafisa waandamizi wanapita kwanye majukwaa ya kichinichini ya Siasa Ofisi zao zipo na nani?
Huu ni Ushahidi tosha kuwa CCM wameisahiwa mbinu
Nikiripoti kutoka Arumemeru ni Mgosi Mgeni wenu wa JF
 
Bado wananchi hawajawapigia mbewe tuu miaka hamsini hawakujua hayo ni matatizo wakamate hao afia ardhi watendaji wa serikali watandikwe viboko
 
kwa hiyo lowassa ameamua kupiga za chini kwa chini,watu wanamkubali au anapoteza muda/?
 
Wana JF kuna jambo la ajabu sana hapa Meru leo Afisa ardhi wa wilaya na mwingine kutoka Makao makuu wanapita na Mkuu mtarajiwa wa Kaya wakishawishi woote wenye Migogoro ya ardhi watarejeshewa Ardhi yao kama watamchagua Siyoi
Najaribu kujiuliza kama mawaziri na maafisa waandamizi wanapita kwanye majukwaa ya kichinichini ya Siasa Ofisi zao zipo na nani?
Huu ni Ushahidi tosha kuwa CCM wameisahiwa mbinu
Nikiripoti kutoka Arumemeru ni Mgosi Mgeni wenu wa JF

Mkuu wale morani 300 wako wapi ili wamkamate huyo Laigwanan na maafisa ardhi?
 
Tangu lini Edo akajali wameru? Kachukuwa maji Arumeru na kupeleka kwake Monduli leo hii anatakwa waamini kuwa atawapa ardhi? Kwa mamlaka gani aliyonayo? Kama kweli ana dhamira hiyo kwa nini hakufanya hayo wakati mzazi mwenzie Mzee Sumari (RIP) akiwa mbunge, tena wakati huo yeye alikuwa Waziri mkuu sio sasa akiwa mzee wa harambee za makanisa?

Na ahadi za Mkapa kuwa atapeleka habari za mashamba kwa mwenyekiti zimeishia wapi?
 
Hivi kipengele cha mgombea binafsi kilishawekwa sawa? Maana huyu jamaa ninaona amening'inia mwenyewe mwenyewe tu. CCM wanamtenga na si muoni kwingine popote. Ngoja tujionee.....
 
wasiishie meru tu waje na arumeru magharibi [arusha V] ili Lowassa na wenzake warudishe viwanja vya burka walivyojigawia kwa wananchi, au siku hizi sheria sio msumeno?
 
Wana JF kuna jambo la ajabu sana hapa Meru leo Afisa ardhi wa wilaya na mwingine kutoka Makao makuu wanapita na Mkuu mtarajiwa wa Kaya wakishawishi woote wenye Migogoro ya ardhi watarejeshewa Ardhi yao kama watamchagua Siyoi Najaribu kujiuliza kama mawaziri na maafisa waandamizi wanapita kwanye majukwaa ya kichinichini ya Siasa Ofisi zao zipo na nani? Huu ni Ushahidi tosha kuwa CCM wameisahiwa mbinu Nikiripoti kutoka Arumemeru ni Mgosi Mgeni wenu wa JF

Kwa hiyo wakimchagua nasari ardhi haitarejeshwa???
 
Siku akipanda jukwaani arumeru kwenye hizi kampeni, na mimi nashuka jukwaa hili na kupanda jukwaa la dini! Naachana na jukwaa hili na mambo yake yote!

mkuu kumbuka bongo kila kitu kinawezekana.!!!
 
Back
Top Bottom