Vita ya Arumeru ni ngumu kwa CCM kuliko ilivyokuwa IGUNGA: Chadema tujipange | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita ya Arumeru ni ngumu kwa CCM kuliko ilivyokuwa IGUNGA: Chadema tujipange

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Crashwise, Mar 27, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kampeni za Igunga zilituacha wana chadema na msiba wa kada/wakala wetu alie uwawa na wanaccm...
  Natambua jukumu la kulinda watanzania ni la serikali ya CCM na si la CHADEMA lakini hatuwezi kukaa kimya tukiona wenzetu wakiteketea, kwa hali ilivyo hapa Arumeru CCM tumewazidi sana si ajabu siku za mwisho mwisho wakachukua maiti hata mochuari na kuweka barabarani ili ionekane CHADEMA tumefanya mauji kama probagada za kutafuta kura za huruma kwani hali ya CCM huku Arumeru ni mbaya mno na je tumejipangaje kulinda usalama wa makada/mawakala wetu....
  View attachment 50285
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du!
  Inatisha hii sana!
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Let's have some respect
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Asante kwa kutukumbusha ukatili wa CCM!!
  Mwigulu Nchemba aliongoza mauaji ya raia wasio na hatia Igunga.  Wakuu, mkimpatia site akiwa anagawa hela hebu mtieni adabu!!
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ya kitu gani!

  Mwambie Mwigulu aliyeendesha zoezi hili!
  mwambie awe na respect kwa mankind na uhai wa raia.
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huyu alolazwa hapo ana ndugu na jamaa na marafiki. Hakuna apendae kuona jamaa yake aliyekwisha tangulia hivyo.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu licha ya CCM kuua watanzania wengi kwa njia tofauti tofauti kama kukosa matibabu, kujifungulia jiani wakipeklekwa hospitali matokeo yake vichanga kujifia kwa ubovu wa barabara nklakini hii ilipita kipimo....
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwani hamkuumuua?
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  tarehe moja ni mkesha wa kulinda kura.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tujidhatiti hasa ili wakitugusa tu.......
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Chadema bana sasa hii ndio nini kuweka maiti kama mtaji wa kisiasa.
   
 12. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  iyo ndio tindikali au !
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kama aliuliwa ndio inaondoa heshima anayotakiwa kupewa yeye na jamaa zake?

  Jiulize angekuwa baba au kaka yako ungefurahi picha yake itumike hivi?
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  sure. C vyema kuweka pcha ya namna hyo. Unaleta huzuni mpya.
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli mlichokifanya CCM igunga haikubaliki kabisa.....
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wameisha sera aisee! Hivi mtu akiweka picha ya maiti ya Chacha Wangwe humu Jamvini akasema kauliwa na Chadema itakuwa sahihi?
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  I have been always saying, CCM ni mumiani, wanywa damu!! KWao ushindi ni kwa gharama zozote! CDM mjipange ki-mikakati tu! Mwisho wao uko njiani tu.

  CW ametumia hiyo picha kutukumbusha yaliyojili Igunga that time, maana waTZ ni mabingwa wa kusahau daima, kila mtu analijua hili, tunasahau sana na kusamehe! Ati aaah ngoja tumuachie Mungu...wapi na wapi!! Mwigulu lazima ajue haya...
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Utakuwa umeisema serikali ya CCM na si Chadema kumbuka CCM ndiyo inayo ongoza kushindwa kulinda watanzania ni udhaifu wa hali ya juu sana kwa serikali ya CCM...na wale wanaojiita usalama wa Kikwete.....
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Yaani kila nikumbuka mauji ya CCM nazidi kuichukia CCM.....
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kinachokutisha wewe ni mzimu wake sio kitu kingine, kifo cha huyu ndugu hakikuwa msiba kwa familia yake tu, ni msiba kwa watanzania wote wanaoheshimu democrasia na utawala unaofuata sheria.

  Hii ni kumbukumbu ya ukatili wa serikali dhidi ya watu wake chini ya uongozi wa chama cha mapinduzi, ni lazma tukumbushane historia hii sababu tunajijua sisi kama binaadamu ni wepesi sana kusahau.

  tutaendelea kukumbushia kifo hiki na vingine vyote vya namna hii hata baada ya kukiondoa chama hiki madarakani, hata wakati wa kikomo cha furaha katika Taifa letu, tutakumbushana kwa picha hizi kwamba tulikotoka hapakuwa salama, hakukuwa na amani wala utulivu ili tusijetukaruhusu wauaji wengine kutuongoza.
   
Loading...