Mgombea wa CCM ashindwa kuongea jukwaani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CCM ashindwa kuongea jukwaani!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by JACADUOGO2., Mar 27, 2012.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatimaye mgombea wa udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kirumba, ndugu Jackson Robert Masamaki ameshindwa kuongea jukwaani! Wakiwa ktk kampeni ya kunadi sera zao ndani mtaa wa Ibanda ziwani leo, wapambe wa mgombea walishia kuporomosha matusi dhidi ya CHADEMA badala ya kuzungumza sera! Na mgombea aliposimama kuomba kura alishindwa kuongea na kuanza kutetemeka na ndipo akatamka neno moja tu kuwa naombeni kura zenu tarehe moja huku akitetemeka kwa hofu baada ya kugundua kuwa hana bao ndani ya kata hiyo ya Kirumba.
  Magari yalikuwepo zaidi ya 20 lkn watu walikuwa hawafiki mia mbili wengi wakiwa ni watoto na makada wa CCM walioletwa kutoka sehemu mbalimbali kwa magari!
  Watu wametoka wakinung'unika sana na kumsikitikia huyo mgombea wa CCM.
   
 2. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 20,103
  Likes Received: 9,924
  Trophy Points: 280
  haaa,haaaa nimecheka sana, na bado Sioi
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,466
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 280
  aongee nini wakati uongo wote umeshafikia kikomo?
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  na wewe ni mmoja wa waliomsikitikia?

   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii kali magamba wanaweza kummwakyembe kwa kuwaabisha!!!!
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,999
  Likes Received: 1,881
  Trophy Points: 280
  Maswali mengine bana.
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Mbona ritz , rejao ,mama porojo na radhia sweety kwenye thread Kama hizi hawatii daluga zao?
   
 8. K

  Kaseisi Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maweeeee, yamekuwa hayo tena
   
 9. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,961
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe tehe Urongo daima una mwisho na mwisho wa magamba umewadia,jamaa kaishiwa
   
 10. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamaa alikua anatetemeka huenda aliwaona wavuvi ambao amekuwa akiwateka na kuwanyanganya injini zao za boti, maana jamaa huyu na Kitana ziwani ni balaa tupu
   
 11. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,656
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Ameshindwa kuongea kwa sababu hapendi kuwadanganya wananchi wake.. kukaa kimya kuna maana yake..ila kutetemeka sina tafsiri yake.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Lol! Kaazi kweli kweli! Tunahitaji semina elekezi kwa ajili ua wagombea wetu. Inabidi tuboreshe ilani ya uchakachuzi.
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Aliishiwa uongo
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magamba wameishiwa kiukweli.
   
 15. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,083
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  ...watesema nini wakati mwenzao ndo hivyo domo limejaa mchanga....
   
 16. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,753
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wangemkagua ndani ya suruali, huenda alikuwa kishaharibu tayari.
   
 17. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Poor 'ma-fish' quite a 'hopeless case', diagnosis - synopsis, remedy - repulsion, indication - blurred vision, contra-indication - prolonged bed rest, sweating, swelling, shivering, bursting, and in very rare incidents can cause death!

  Must avoid loss in the election at all cost, otherwise may commit suicide by plunging into lake Victoria!
   
 18. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kwani ndiyo mara yake ya kwanza jukwaani?
   
 19. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,497
  Likes Received: 15,778
  Trophy Points: 280
  Jacky kaza boot, hata kama ugombea hawa CCM walikubambika ili wapate visenti toka kwako wewe gangamala hadi mwisho maana hata ukipata 12% ya kura zote sii haba maana utaingia kwente kumbukumbu,
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Nafsi zao sinawagusa!
   
Loading...