Rais Kikwete kwanini anatembelea Iringa mara kwa mara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete kwanini anatembelea Iringa mara kwa mara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by satellite, Mar 22, 2012.

 1. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona mheshimiwa rais akiwa mkoani Iringa hii inanifanya nijiulize kwa nn ametembelea mkoa huo zaidi ya mara 7 tangu achaguliwe wakati mkoa wa jirani Mbeya hajarudi tangu aende kuomba kura za urais wakati umbali wake ni km 300 kwa barabara kwa ndege ni nusu saa tu.swali nalojiuliza mbona kawasusa wanyakyusa kiasi hicho?nahisi ndo mkoa unaoongoza kwa kutotembelewa na rais
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu baada ya kuchaguliwa nakumbuka kama alienda kule wakamtwanga mawe au?
   
 3. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hamjatulia. Ahahah. Rais hatwangwi mawe!
   
 4. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bi mdogo yupo hapo iringa tena ni mtoto wa tajiri mmoja hapo.kuja kwake hapo sio bure anaua ndege wawili kwa jiwe moja
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  mkuu mbeya hawataki wauza sura.wananchi wa mbeya wanajiamini na wengi ni watafutaji hivyo kwao siasa za majitaka hazina nafasi.!
   
 6. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kuna kiwanda cha maziwa ASAS

  labda anapenda kunywa maziwa ya iringa bariiidiii
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Leo ni siku ya maji wakuu, kitaifa maadhimisho ni Iringa.
   
 8. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Anamiliki jengo la ghorofa 4 hapa ni jipya linaelekea ukingoni kumalizika alikuja kulikagua na pia ana bi mdogo,lakini kulikuwa kuna idadi ndogo sana ya wananchi tulioenda kushuhudia maadhimisho hayo
   
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Maji yenyewe yako wapi.ni sawa na kusherekea siku ya kuzaliwa mtoti wako wakati huna.
   
 10. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaaaa!! Wanyaku wamefunguka macho na ndiyo moja ya mikoa ambayo wanatafuta ukombozi wa Taifa letu!!! awezi kwenda kule kwani Jamaa anajipya la kuwadanganya.
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  kwa nini unafikiri mlienda wachache.?
   
 12. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Bi mdogo wa kiarabu toka maziwa ya ASAS, si mchezo! Wakwe! Lazima aripoti mara kwa mara asijenyang'anywa mke
   
 13. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Amewekeza Iringa, anajenga hekalu pale vile vile ameozeshwa kimwana wa kiarabu si mnajua watani zangu wanavyochangamkia mikia?
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee! imekaa kiumbea umbea hivi!
   
 15. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sehem yenye watu
  werevu hawezi
  kwenda kwenda
  ovyo.
   
 16. majata

  majata JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  ulichoandika ndio tetesi au? Kama nawewe ni great thinker na una degree basi hizi ndio Degree za majucha!.
   
 17. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ......Labda hali ya hewa ya ubaridi inakumbusha mamtoni (ulaya) ......
   
 18. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa uelewa wa kawaida ni kwamba Viongozi hupata barua toka sehemu na jumuiya mbalimbali akiombwa kuwa mgeni rasmi kwa shughuli husika sasa kiongozi anahaki ya kuukubali au kuukataa mualiko kulingana na ratiba zake kwa tarehe husika na pia anauamuzi wa kumtaka Pm au Vprsd akamuwakilishe"
   
 19. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Gwankaja hilo gorofa liko maeneo gani tena hapo iringa?kn kipindi nilikuja iringa nikaona jengo linajengwa mahali ilipokua sheli kama sikosei ndo hilo au lipo lingine?
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Iringa sio Tanzania maswali mengine sisimizi tupu?
   
Loading...