January Makamba: Najua kinachoendelea BUMBULI hata kama nikiwa New York | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba: Najua kinachoendelea BUMBULI hata kama nikiwa New York

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ground Zero, Mar 15, 2012.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeikuta hii kwenye blog ya taifa letu. Jamaa amezindua namba ya bure kwa wapiga kura wake


  Engaging Bumbuli Constituents....


  [​IMG]

  So, when I ran for MP I decided that I should engage my constituents as much and as often as possible. One of the ways I decided to use was SMS as lots of people, even in rural areas, have mobile phones. But I figured that most of my people will be constrained - and the excercise will not be effective - if they have to pay to send SMS to me. So, I decided to make it a free service. That people in Bumbuli send free messages when they want to contact me. But, somebody has to pay for it. And that is me.

  I applied for a short-code with TCRA for these 1500... numbers. Then negotiated with mobile phone companies for at-cost SMS rate. I then distributed the number - through posters and in public meetings - for my people to send messages if they have ANY matter - advice, complaint, etc - that they want to bring to my attention. The messages go into a web platform, and every morning and afternoon, my Assistant Alex and I log-in to see what Bumbuli people are saying.

  When I'm travelling Alex emails me the day's messages. We respond to some, take action on others, and also forward others to responsible authorities in the District, example DC, DED, OCD, etc. The program has been running for almost a year now and has been wildly successful.

  I know more about issues on the ground - even when I'm in New York - than officials on the ground. In terms of cost, it is actually cheaper than one would think. Initially, it was expensive as we were getting a lot of messages, most of them saying things like "Mheshimiwa, kumekucha, umeamkaje?". With public education, we cut down on those...

  Kutoka: http://taifaletu.blogspot.com/2012/03/engaging-bumbuli-constituents.html
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,901
  Likes Received: 5,363
  Trophy Points: 280
  sijaona cha maana.,acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe..sijaona sehemu anayosema yuko new york labda sijui kidhungu au macho yangu mabovu.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mbona sasa message anazotumiwa na watu ameziweka kwenye blog?
   
 4. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwe unasoma vizuri acha uvivu "I know more about issues on the ground - even when I'm in New York - than officials on the ground"
   
 5. African American

  African American Senior Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wow! creative but he has to be prepared
   
 6. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - He is simply a good leader! Bravo and SALUTE!

  eS!
   
 7. African American

  African American Senior Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This guy seems to be open to new ideas, not many politicians in East Africa have seen this
   
 8. New2JF

  New2JF Senior Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni njia ya kujipatia hela pia
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu January na dada yake washakanusha tuhuma za kuomba millions of dollars kutoka nje kwa ajili ya kampeni za ubunge?
   
 10. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - He has a vision and very articulate, open mind and smart!

  Es!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa ni wazo zuri, nakuongezea ushauri kidogo.

  Wacha kutumia kiingereza kwani unataka ujumbe uwafikie Watanzania wenzako zaidi, na wengi wao Kiingereza ni haba kwao.

  Wacha kutumia Kiingereza kwani hujui kukiandika vizuri, kama hicho kilichoandikwa hapo juu ni Kiingereza ulichoandika wewe mwenyewe, nakushauri usiandike tena na ukifanyie mazoezi, hakina hadhi ya Mbunge, unakuwa kama Sugu!
   
 12. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Siasa za majitaka sana, they never did ask anybody for anything I spoke to Januari for three hours looking him in his eyes nothing majitaka tupu!, kila biandam ana mapungufu lakini sio ya kubambikiana ni upuuuzi na inatuharibia Viongozi wetu wazuri for nothing, Januari is our Nation's future leader he is young and articulate if not smart!

  Es!
   
 13. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Mimi sio ishu hapa unless una maumivu from somewhere else ha! ha! ha! unataka tuanze kuyafungua tena be my guest, ha1 ha! ha1 pole sana you know! lakini this kid Januari is super!

  Es!
   
 14. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Stimulus and response are somewhat linear.......but unfortunately the expectations are not always met in this trend

  Matokeo ya kazi ni muhimu kuliko mikakati ya jinsi ya kuitekeleza

  Natamani sasa kusikia na wananchi
   
 15. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona unaleta habari za uswazi?jadili hoja sio kudandia mambo ya kipuuzi!
   
 16. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mikakati mibovu huzaa matokeo mabovu. Kwa hapo naona jamaa kajipanga vizuri hasa ukiangalia wananchi wenyewe ndiyo wanampa yeye vipaumbe vyao 1. Maji 2. Umeme 3. Barabara nk
   
 17. Ambrose Nshala

  Ambrose Nshala Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  With this Januay has shown the way...I commend him on this and wish him all the best in serving the people of Bumbuli and the Nation at large. Well done comrade!!!
   
 18. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Mlengwa hukuwa wewe, January alikuwa anacommunicate na watu wake............ na huyu mleta habari kacopy kama ilivyo na kutuletea. Kwa hiyo kama unamshauri afanye mazoezi sijui unataka ayafanyie wapi kama siyo through communication na circle yake. Pamoja na kwamba sentence haziko perfect nafikiri ujumbe umefika vizuri tu. Tatizo letu Watanzania tunataka mtu akiandika kingereza aandike perfect 100 % kitu ambacho hata Waingereza, waamerica, Waaustralia wenyewe ambao ni english ni mother tongue yao huwa wanpata shida kufanya hivyo. Hata hicho kiswahili unachotaka watu wakitumie tumeona ni jinsi gani watu humu JF wanavyojikanyaga ............... Kwa ujumla watanzania wengi Kiswahili ni shida na Kingereza ni tatizo.
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,901
  Likes Received: 5,363
  Trophy Points: 280
  ndio maana nikasema labda macho yangu hayaoni vizuri..ahsante kwa kunionyesha huo mstari...kwa hiyo anajifagilia kuwa yuko juu katika kufatilia mabo kuliko wenzie..haya makamba mdogo.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ujumbe umenilenga mimi na mimi ni "mtu wake" na huyo ni mtunga sheria ambazo hazitumiwi na wana Bumbuli pekee na humhusu kila Mtanzania.

  Wazo lake ni zuri sana, linafaa kuigwa lakini lugha aliyotumia haifai kwa kuwa Watanzania wengi Kiingereza chao ni haba, na aliyeandika hakielewi kukiandika vizuri. Kwa mbunge si vyema. Kama ana kasoro za kuandika kiingereza angetumia wajuao waka edit halafu aka post. Tunaongelea Mbunge hapa hatuogelea

  Umetaja Uingereza, ngoja nikufunde kuhusu Uingereza, Hutamkuta Mbunge wa Uingereza aki communicate na wananchi wake kwa lugha nyingine yoyote zaidi ya Kiingereza, ingawa, shule zao kuanzia "primary" ni compulsory kujifunza na lugha ya pili. Wanakienzi Kiingereza chao na ndio lugha nyepesi ya kuwasiliana huko kwao.

  Jee, sisi lugha nyepesi ya kuwasiliana, iwe ujumbe umeletwa kwangu au kwa wana Bumbuli pekee, ni Kiingereza? Fikiri.
   
Loading...