Masanduku ya Kura ARUMERU.

EMMANUEL NSAMBI

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
402
83
Wana JF,
Nimesikia kutoka kwa watu tofauti wakisema kuna masanduku yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa tayari.
Yeyote mwenye taarifa jamani naomba mtujuze kama ni kweli au la.

Nawasilisha.
 
Nina IMANI tosha ya kwmb hapa tupo JF yenye kila aina ya member

Hii tutasikia tu!
 
Hii sasa imezidi yaani wawe wamepiga kura tayari yataingizwajwe? Hapa pana walakini.
 
chadema imarisheni ulinzi.kampeni zimetosha sasa ni ''mikakati'' ya ushindi.
 
safari hii uhuni huu wakithubutu kufanya watajuta maana tumejipanga kweli kweli...
 
Angalieni makamanda muwe makini wanaweza kufanya kama Makongoro
kule Segerea kukimbia na masnduku ya ukweli na kuwaachia feki ohooo.......
 
Back
Top Bottom