Je ni haki kwa watawala kuahidi ahadi mpya kwa wapiga kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni haki kwa watawala kuahidi ahadi mpya kwa wapiga kura?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by TEMILUGODA, Mar 30, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Salaam wana JF! Naomba kusaidiwa kama ni jambo la msingi kwa chama kinachounda serikali kinamnadi mgombea wake kwa kutumia ahadi mpya kabisa kabisa badala ya kutumia ahadi ambazo mathalan marehemu aliziacha.Katika nchi hii nimegundua kwamba umasikini hausababishwi na uvivu wa watanzania bali viongozi kwa sababu wengi wao kwao wanafanya kazi bila kumuogopa Mungu wa kweli eg.LUSINDE,SENDEKA,MAJIMAREFU nk.Na kama ukipima majimbo ya hawa wabunge ni masikini wa kutupwa.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  marehemu huwa hajitambui ccm ni mfu anayeishi.
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Inashangaza maana jimbo la Arumeru CCM ndio walikuwa nalo miaka yote so wakati huu ulitakiwa uwe ni wa kupitia ilani na ahadi za ccmkwenye jimbo hili kunagalia zimetekelezwa kwa kiasi gani na progress ipoje kuja na ahadi nyingine mpya wakati zile za zamani hazijatekelezwa hata moja ni kuwahadaa wana Aumeru tuwakatae CCM, wao ni mabingwa wa kutukana na kukashifu tu hawana sera!!
   
Loading...