Butiku, Kitine, Kaduma, Salim, Warioba, wana nguvu?

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Tumewasikia wakitapatapa, hawajui wakati ukuta, wamebanwa mbavu, wanahemea tumboni, wanajaribu kujenga mustakabali ya tz ya 1967, hawajui nini wamekosea, wamo ndani ya chumba cha giza hawajui switch ukowapi,
Kweli majuto mjuukuu.
 
Hebu weka wazi mambo maana umekuja kisanii zaidi...
 
..hao wote hawana wafuasi ndani ya CCM.

..nilipowaona Salim na Warioba siku ya kufunga kampeni za Kikwete, na wao kushuhudia matusi yaliyorushwa pale, ndipo nilipojua kuwa hawa ni WANAFIKI.
 
salaam wakuu.

Kitine Akiwa mkuu wa mkoa wa Tanga alitumia madaraka yake vibaya kwa kuandaa nyaraka feki ili mke wake asafirishwe kwenda Canada na alipiwe gharama za matibabu na serikali ya Tanzania.

taarifa za wadadisi wa mambo zinasema kuwa Alifukuzwa Ukurugenzi Mkuu wa usalama wa taifa (UWT) baada ya miaka miwili tu, na kwamba ni yeye pekee aliekaa madakarakani ktk nafasi hiyo kwa kipindi kifupi sana kuliko wakurugenzi wote waliowahi kushika nafasi hiyo nyeti hapa nchini.chanzo cha kufukuzwa inaelezwa ni Ufisadi na alitaka kulisaliti Taifa kwa maadui.
KITINE ni mwizi wa mali za watanzania na ni mtu mwenye gubu katika roho yake.

My take:Je ni kweli huyu jamaa ana ujasiri wa kutosha kujitpokeza na kuwaambia watanzania kuwa chama cha magamba kinakufa kufa? ni mzalendo wa kweli?
 
kuteleza si kuanguka

salaam
wakuu.
Kitine Akiwa mkuu wa mkoa wa Tanga alitumia madaraka yake vibaya kwa
kuandaa nyaraka feki ili mke wake asafirishwe kwenda Canada na alipiwe
gharama za matibabu na serikali ya Tanzania.
taarifa za wadadisi wa mambo zinasema kuwa Alifukuzwa Ukurugenzi Mkuu
wa usalama wa taifa (UWT) baada ya miaka miwili tu, na kwamba ni yeye
pekee aliekaa madakarakani ktk nafasi hiyo kwa kipindi kifupi sana
kuliko wakurugenzi wote waliowahi kushika nafasi hiyo nyeti hapa
nchini.chanzo cha kufukuzwa inaelezwa ni Ufisadi na alitaka kulisaliti
Taifa kwa maadui. KITINE ni mwizi wa mali za watanzania na ni mtu
mwenye gubu katika roho yake.
My take:Je ni kweli huyu jamaa ana ujasiri wa kutosha kujitpokeza na
kuwaambia watanzania kuwa chama cha magamba kinakufa kufa? ni mzalendo
wa kweli?
 
hawa wamewahi kuwa viongozi hawajawahi kusema wameifanyia nini Tanzania ili tuwapime enzi zao lakini pia walipokuwa na madaraka hatukusikia wakijikosoa wao au awamu walizotumikia au hazikuwa na mapungufu?
 
ukitaka kujua taarifa chafu za kitine kamuulize membe ndiye alimlipua bungeni baada ya kugushi matibabu hewa ya mkewe ni kitine alikuwa boss wa membe TISS na pia kitine alipokuwa balozi canada membe alikuwa afisa ubalozi canada bila membe madudu ya huyu mzee tusingejua kila mtu aliogopa eti kwa sababu alikuwa mkurugenzi wa TISS
 
inauma inaonekana umemwona huyu mzee akiwakosoa sasa umeamua kumpa za uso'je unafikiri itasaidia?
 
hawa wamewahi kuwa viongozi hawajawahi kusema wameifanyia nini Tanzania ili tuwapime enzi zao lakini pia walipokuwa na madaraka hatukusikia wakijikosoa wao au awamu walizotumikia au hazikuwa na mapungufu?

Mama porojo anaweza kuwa ndiye faiza foxy?
 
mwalimu alimfukuza kitine TISS kwa kashifa za ufisadi ikiwemo kununua gari 2 binafsi za kifahari enzi hizo baada ya kuiba fedha za umma. mwalimu alitaka kumfunga jela isanga mbeya kama isiingekuwa busara za kawawa ndipo nyerere akasema hataki kumuona hapa nchini kawawa akaomba apelekwe ubalozini akapelekwa canada ambako pia akaiba fisadi mkongwe hana sehemu ya kuiba amebanwa
 
enzi za butiku alikuwa anashika fuko la fedha za mwalimu ikulu. nyerere hakuwahi kutembea na fedha ya ofisini ktk shughuli zote za kikazi ni butika alitoa fedha kwa maelekezo ya nyerere. fuko hilo lilimpa kiburi akatumia nafasi hiyo ya kutoweza kumfikia mwalimu bila butiku kutembea kizembe na akina dada wa ikulu kwa idadi kubwa hadi ndoa yake ikavunjika mke wake akambilia nje ya nchi hadi leo kwa kashfa hizo. kwa sababu ya kukosa uaminifu ktk mambo ya fedha na uzinzi mwalimu akasikia habari zake akamwondoa ikulu akampeleka kuwa mkuu wa mkoa wa mara.
 
wazee hawa ni majeruhi kelele zao si za uzalendo ni kelele za kusahauliwa kwenye maamuzi na kuwekwa pembezoni.wakirudishwa watakaa kimya mathalan warioba si yule wa mwaka juzi kasogezwa jikoni. warioba anaandamwa na kashfa ya kampuni ya madini ya mwananchi bado tunahitaji maelezo kwa kina anatuhumiwa kuchota mamilioni. warioba aliondolewa na mwinyi ktk nafasi ya waziri kwa sababu alikuwa hatoshi na kumweka john malecela. akiwa waziri mkuu wetu ni nini tunachokumbuka alifanya kwa ajili ya kukumbuka utumishi wake huo mkubwa?
 
inauma inaonekana umemwona huyu mzee akiwakosoa sasa umeamua kumpa za uso'je unafikiri itasaidia?

mkuu,mimi si miongoni mwa waliokosolewa,najaribu kuangalia mustakabali wa taifa kwa mawazo ya hawa wazee wakati wao ndio waasisi lakini leo wanakuja na uongo ule ule tunaoukataa
 
mwalimu alimfukuza kitine TISS kwa kashifa za ufisadi ikiwemo kununua gari 2 binafsi za kifahari enzi hizo baada ya kuiba fedha za umma. mwalimu alitaka kumfunga jela isanga mbeya kama isiingekuwa busara za kawawa ndipo nyerere akasema hataki kumuona hapa nchini kawawa akaomba apelekwe ubalozini akapelekwa canada ambako pia akaiba fisadi mkongwe hana sehemu ya kuiba amebanwa

si huyuhuyu kitine ndie aliyemficha nyerere pale kigamboni wakati wa maasi ya jeshi?
 
Mbunge wa Makete, Dk.Hassy Kitine amewaomba Mawaziri, Wabunge na Viongozi wa CCM. ... kusamehe deni linalomkabili mke wake aliyeenda kutibiwa canada. Machi: ... [ ipp.co.tz ]
 
Back
Top Bottom