Meru yalipuka! Mabomu yaanza kurindima usiku huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meru yalipuka! Mabomu yaanza kurindima usiku huu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mpinga shetani, Mar 29, 2012.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hivi sasa mabomu yanalipuliwa eneo la Kolila karibu na KIA kisa ni uchaguzi wa Jumapili wa Arumeru-Mashariki.

  Sababu ni kwamba mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka anashikiliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumfuma akigawa fedha (Mlungula) katika kijiji cha Kolila.

  Polisi wamefika na kujaribu kumuokoa lakini wananchi wamegoma kumuachia na hivyo mabomu ya machozi yanafyatuliwa.

  Jana tena mbunge wa Arumeru-Magharibi, Goodluck Ole Medeye alibambwa na wananchi akigawa rushwa na kuwekwa chini ya ulinzi na vijana wa chadema. Ila hili la leo linaelekea kuwa serious zaidi

  Mengine tutawa..update baadae.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  ...haya tena.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  toobaa!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Magamba na rushwa damu damu. Sera za chama chao zimebaki ni matusi na rushwa.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tanzania itajengwa na watanzania wenye moyo! Ole Sendeka na wenzake watathubutu tena kusimama bungeni na kusema watu kuwa sio waadilifu?

  Pili, nilitaka tu kuuliza mtu kama Ole Sendeka kapata wapi za kuhonga? Nani anampa? Ni mweka hazina wa CCM? Ni mfadhili wa mgombea? Au ni hao wazungu waliopewa mashamba wa Meru? Nani hasa anatoa hizi hela zinazogawiwa Arumeru?
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,haya asante,wikend itakua murua kwake
   
 7. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Akyamungu km ni kweli tumefika pazuri magamba wameshikwa pabaya. Ni ishara ya arumeru kutokea vurugu ziko wazi kabisa. Mungu tuepushie mbali balaa hili.
   
 8. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nchi ina amani
   
 9. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red....don't hold your breath mkuu, don't kabisaaa!

  umesahau JK alivyowanadi jukwaani akina EL towards October 2010?? hawa ndio CCM!
   
 10. L

  Lua JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao wananchi nao sijui vipi si wangemtia bakola kidogo.
   
 11. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  If his excellency, President Kikwete is around, peace shall prevail before, during and after the election!
   
 12. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watagawa rushwa hawatakubalika, na mwisho wataona labda wakiwagawia wanaume wa huko "kitu cha Mombasa" ndio itasaidia, wataanza kugawa kitu ya Mombasa, lakini hawataambulia kitu!
  Magamba kwishney!
   
 13. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Source haieleweki na nina mashaka nayo, we hilo la jana magazeti tote ya TZ hayakuliona? nani kawaambia hao vijana kuwa wapo juu ya sheria? wana tofauti gani na wale wanaochoma moto vibaka!
   
 14. adil_abdallah

  adil_abdallah Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm hawajaanza siasa leo,watathubutu kusema,kufanya na kua mua lolote..nani wakusema hapana?no one...
   
 15. M

  Mboko JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duuh sasa mtu kama Ole Sendeka ati ndio anajifanya mtu wa kupambana na wala rushwa nyambafu,huyu mzee ni kigeugeu sana.Vijana fanyeni kazi yenu msiwaachie hao panya.Peoples Power
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Face book ukurasa wa sendeka wameweka picha alivyokamatwa anadai kuwa ni mchezo wa chadema na wamemuwekea hela milioni tano kwenye gari yake ionekane alikw anagawa
   
 17. e

  evvy Senior Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa news....
   
 18. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Lakini JK hajawahi kupiga kelele za kupinga rushwa na ufisadi hadharani kama ambavyo ole Sendeka alivyokuwa anajinasibu kwa muda mrefu.
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kama wananchi wameanza na moto huu, basi tuna uhakika wa kumaliza vizuri. CCM too much kwa rushwa bwana, hela wanatuibia wenyewe halafu wanageuka kutuhonga wenyewe.
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hayawi hayawi mwishowe yatakuwa!

  UKOMBOZI KWA WATANZANIA WANAONYONYWA NA MAFISADI inaweza ikaanzia Arusha hasa pale Meru kesho kutwa!
   
Loading...