Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Evance Mphuru, Mar 30, 2012.

 1. E

  Evance Mphuru New Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zimebaki siku chache tujue elimu ya ufikiri kama ipo kwa wananchi wa Arumeru mashariki, naamini kipimo kidogo cha ufahamu wao watakionyesha tarehe moja, kama ilivyo siku yenyewe 'siku ya wajinga duniani'. naamini wana Arumeru wataenda tofauti na kuifanya iwe 'siku ya walioamka Arumeru'.. TUFANYE MABADILIKO
   
Loading...