Mikutano 50 kwa siku itawaokoa ccm-arumeru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano 50 kwa siku itawaokoa ccm-arumeru?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KOMBAJR, Mar 30, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika kujaribu kubadili upepo wa wapiga kura katika lalasalama ccm wamepanga kufanya mikutano ipatayo 50 kwa siku huku mgombea akishiriki katika mikutano 8 kati ya hamsini.
  Je Uwepo pia wa hili gari lenye number T.191 BKW Inasemekana ni la Katibu wa Itikadi itasaidia?
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka wasiwasi wa nini nyie si mnayo Chopa yenu, CCM wanafanya kampeni za kutwaa Jimbo kwenye lala salama huko Arumeru.
   
 3. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kusema hawa jamaa (magamba) wanapaswa kutafuta mtaalam mshauri wa maswala ya siasa! Mikutano 50 haitabadili hali ya hewa, wala uwepo wa Nape, Lowasa na Mkapa pia hakuta badili hali labda kutokee muujiza wa miungu kuwavusha bahari.
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tofautisha wasiwasi na taarifa mi nimewapa wanabodi taarifa.hata wafanye mikutano 100 hawana jipya zaidi ya porojo na matusi.
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Well said fred siri moja ya mtu anayechaguliwa kuongoza kampeni lazima uwe mtaalam wa kuiba kura na siyo kujenga hoja.muda mwingi wao wanapanga mbinu za kuiba kura tu nothin mo!
   
Loading...