Waandishi wa habari njooni leo Mbuguni kwenye kampeni za cdm muone watu walichokiandaa kwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari njooni leo Mbuguni kwenye kampeni za cdm muone watu walichokiandaa kwa CCM

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Wizzo, Mar 29, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  leo cdm watakuja mbuguni kwa kampeni,nawaomba waandishi mje kwa wingi kuna 2kio kubwa litatokea ambalo ndio kifo cha magamba arumeru.ukizingatia jana ole medee alitimuliwa chupuchupu thanx kwa polisi wa mbuguni.mkutano utaanza saa 8
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tupe live coverage mkuu wangu
   
 3. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ninaapa ccm ikishinda ARUMERU watakuwa wameiba....NJOONI MBUGUNI penye wapiga kura wengi muone kifo cha CCM hadharani. bila chenga............
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hasa ukizingatia kuwa si wote tunaoweza kufika huko
   
 5. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilijua mbuguni kwa vile ni jirani na ole sendeka mambo yanaweza kuwa magumu kumbe napo magamba wako hoi
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nimemhamasisha rafiki yangu aliye karibu aende
   
 7. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  mkuu utatujulisha kitakachokuwa kinaendelea hapo, tupo mbali kidogo but tutashiriki hapo hata ki-fikra...
   
 8. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  haina shida ndo niko njiani naenda ntawapa data zote
   
 9. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kamanda Wizzo tupe, ma updates mkuu, siye tupo kirumba mwanza, tunayapigisha magamba kwata za kutosha, ulimi nje hayana hamu!
   
 10. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mkuu tupeni vitu kama hivyo adimu,ndivyo tuna haja navyo leo, sisi tuko mbalii Shinyanga.Tukisikia habari kama hizo,mioyo yetu ndipo inawaka moto mkali sana........
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  CCM warudi dodoma na tabora tu sasa
   
 12. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida ya Mgosi wenu nipo njiani kuelekea Mbuguni sasa hivi nikajionee na kuripoti LIVE
   
 13. M

  Mwangendage Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yametimia! baba mikononi mwako naiweka roho yangu
   
 14. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  msisahau mapchazzzz kwa wingingi!
   
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  nimekata ticket ya dar express jmos naenda ara chuga kuwachinja magamba,asubuhi na mapema napiga kura pale nkoaranga,na kulinda kura.HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE,MUNGU IBARIKI CHADEMA
   
 16. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  jamani wadau ondoeni hofu nawatupia mapicha mda c mrefu,cdm wamefunika mbya.mboe,nyerere na sugu ni hatari.Nasari kaua
   
 17. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Nassari amemwambia muhindi paradipu akipata ubunge atahakikisha huyu jamaa anahama nchi.atahakikisha soko walilonyang'anywa wanambuguni linarudi kwa wananchi.awaahidi wanafunzi wa mbuguni sekondar hawata enda na limu wala dawati akiwa kiongozi.ashangaa mbuguni kuna minala ya cm na kuna hela ina lipwa kila mwezi lakini hela haileweki inakwenda wapi
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbuguni ndk kunachimbwa madini nasari Amesemaa kila mwanambuguni atapewa shimo la kuchimba madini
   
 19. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi ni wa mbuguni ila nipo Arusha mjini ila jumapili asubui na mapema naenda kupiga kura nakulinda kura yangu wasiibe magamba
   
 20. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  cdm si kama ccm,hatutoi ahadi hewa
   
Loading...