lowassa aahidi kujenga makaburi huko arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

lowassa aahidi kujenga makaburi huko arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jackbauer, Mar 30, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  katika hekaheka za kampeni huko arumeru,lowassa amejukuta akitoa ahadi ya kujengea makaburi ya wachezaji huko sakila.
  Kwa wale wakazi wa meru watakumbuka kuwa kuna ajali mbaya ya trekta lenye wachezaji iliwahi kutokea huko maeneo ya sakila.
  Ajali hii ilivuta na bado inaendelea kuvuta hisia za wakazi wa meru.

  Kwa nguvu zote mheshimiwa EL ameahidi kujengea makaburi hayo iwapo wananchi watamchagua siyoi
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo sera ya ccm ni kuangalia 'wafu' na sio walio hai? Ndio maana wanaamuru police wauwe?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kuuza utu wao kwa kubadilishana na Makaburi!...my hairs!
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  hii kali vipi hakasema kama atajenga kabulia la sumari
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,639
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Is this serious? if yes, we are doomed!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Rweganani anachemka!
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hili ni jambo lililowakera wananchi sana,lowassa anaonekana ameenda kuwadhihaki wananchi.
   
 8. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ana haki ya kusema hivyo kwani huko ndiyo kwao haswaaaa,ila ningemshauri awajengee shule au kanisa au soko au chchote cha jumuiya na aweke maandishi ya kuonesha jengo hilo ni kwa ajili ya kuwakumbuka hao wahanga wa trekta
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hawa wazee wameshachoka sana,mungu anawaumbua mmoja baada ya mwingine.
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  akili za ccm hizo mgando sana!
   
Loading...