Nina mashaka na utaratibu wa usimamizi wa kura wa NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mashaka na utaratibu wa usimamizi wa kura wa NEC

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mtumishi Wetu, Mar 30, 2012.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wadau hasubuhi ya leo nilisikiliza kipindi cha mahojiano na Redio One TBC kuhusu uchaguzi Arumeru!!! Nikamsikia msimamizi wa uchaguzi wa tume akisema kwamba baada ya kupiga kura vituoni KURA ZITAPELEKWA MAKAO MAKUU YA HALIMASHAURI KUHESABIWA!!!! Sasa wadau mashaka yangu yananzia hapo, hivi ni kweli alivyosema huyu mkubwa, je ni kwa nini kura zisihesabiwe vituoni na kupata matokeo badala ya kukusanywa kwenye center moja???????

  Mbona Tanzania tunangangania mfumo wa zamani wa uchaguzi, kuna taabu gani kuhesabu kura na kubandika matokeo kwenye vituo ili watu wajue matokeo ya kura zao?????? Je hiyo haiwezi kuwa ni njia ya kuiba na kuweka kura za bandia??? Labda sikumuelewa vizuri huyu msimamizi??? Naomba kueleweshwa jamani!!!!!

   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio una mawazo yakizamani yakutaka kufanya mambo kinyume na taratibu !
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwa nini kura zihamishwe kwenye kituo cha kupigia kura bila kuhesabiwa, huo ni utaratibu wa nchi gani, kama sio wizi wa kura????

   
 4. R

  Real Masai Senior Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa upeo wangu, kura lazima zihesabiwe vituoni na zibandikwe.Hiyo ya kuhesabu kwenye pool moja siyo sahii..Labda ni utaratibu mpya wa NEC kwa shinikizo la CCM.Ila ngoja tupate updates za NEC...
   
 5. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Tunaomba watu wa NEC watujibu tafadhari labda mimi sikumuelewa vizuri huyo msimamizi?????

   
Loading...