CCM Mnawafahamu Hawa, John Ayo na Mrs.Kirilo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mnawafahamu Hawa, John Ayo na Mrs.Kirilo??

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Puppy, Mar 30, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  John Ayo alikuwa kada mtiifu wa CCM kwa muda mrefu saaana na diwani, lakini Sasa ameukubali ukweli na kusimamisha Bendera ya CHADEMA nyumbani kwake, na Kadi ya CHADEMA mfukoni. Pia ni mhamasishaji mkubwa wa Chagua Nassari maeneo ya Nkoaranga. CCM fungueni macho muone na mjiulize kwanini mnapoteza hazina zenu?
  Naamini ni kwasababu mnachoamini na kutenda ni tofauti na mnachohubiri.

  Mama Kirilo.
  Huyu mama ni mke wa Marehem Mheshiwa J. Kirilo, mzee alepigania uhuru, mwananchi wa kwanza kwenda Leaugue of Nation kuomba uhuru wa Ardhi ya Meru, kati ya waasisi wa CCM lakini sasa na yeye kapandisha Bendera ya CHADEMA nyumbani kwake, na alimpa Nassari baraka zote.

  Nionavyo:
  Kama makada na walofaidika na ccm wameanza kujitoa waziwazi bila uoga basi ccm inakufa haraka sana. Na hii ni kutokana na matendo yao. Kutoka "Nyundo Na Jembe" to "Wizi Na Ufisadi"
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Pilipili usiyoila inakuwashia nini? Hao watu umewataja kwa ridhaa yao au maamuzi yako na unataka washughulikiwe? Nadhani ujumbe umefika
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wenye akili hawawezi kugombea mfupa uliomshinda fisi!
   
 4. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Utu uzima dawa(ingawa si wote) wazee wameifahamu kweli!
   
Loading...