Mimi hii naiita ni hofu ya kushindwa katika uchaguzi wa Arumeru
mashariki na kuanza malalamiko mapema kama kawaida yao.
DR. SLAA leo eti Jeshi la Polisi limeandaa vijana 95 waliohitimu
mafunzo...
Hi Jf! Actually the change of any society begin with the members of the particular society who able to answer the qeustions when,why and where? So it is high time for...
Katika hali ambayo inaonyesha kupoteza mwelekeo ni pale lowassa alipo geuka kituko kwa kulazimisha audiance kumsikiliza kwa kusema Hapo je!bila majibu.
Nakiri kuwa Nyerere alifanya mengi mazuri ambyoyamebakia historia leo. Sina sababu ya
kuyataja kwani kila mtazania, mtu mzima na mwenye akili timamu
ameyaona ama ameyameza kupitia shuleni, enzi...
Kwa muda mrefu tumefatilia kampen za arumeru na ss znakwenda mwisho,na 2meona kampeni zenye mvutano wa vyama viwili vyenye mashabk weng Chadema na CCM,lakn Kwa chama km CCM nakfafanisha na koti...
Nawapongeza sana CDM kwa kujitahidi kufuata sheria za uchaguzi ila CCM mnavunja sheria kupita kiasu.
Mkutano mlio ufanya eneo la makumia siku ya Alhamisi mlifunga mkutano saa 12:38 wakati...
Nimepigiwa simu na majamaa zangu nikaambiwa juzi OLEMEDEYE GOODLUCK (naibu waziri) alipata kizazaa kijijini Shambarai mbuguni baada ya mkutano wake wa kampeni kuibuka vurugu? na vijana kuanza...
Baada ya maandamano ya zaidi ya wananchi 5,000 wa kata ya Moshono na Mlangarini mwanzoni mwa mwezi huu kwenda kwa mkuu wa mkoa Magesa Mulongo kufuatilia fidia iliyoota mbawa ama kurejeshewa eneo...
Serikali imetuma ma afisa usalama walio zagaa Arumeru kama kumbikumbi.kambi yao kubwa mojawapo ni Bar ya Transit eneo la Leganga Usa River.Kwa Bahati mbaya au nzuri eneo hili lina wasomi wengi mno...
Ni kutokana na ahadi nyingi za kisiasa alizoweka na hadi sasa hajatimiza, vijana wa Mafia wanatumia facebook kujadili mustkabli wa kisiwa Chao
tayari mtandao huo mdogo wa facebook unaojulikana...
Kuna tetesi baadhi ya wanasiasa wanataka kuwapotosha wapiga kura Arumeru siku ya wajinga trh 01/04/2012 ambayo ni siku ya kupiga kura.Wanapanga mikakati ya kuwadanganya wananchi na kuwapotosha...
Imebainika kuwa chanzo cha miradi mingi ya barabara nchini kukwama kumalizika kwa kipindi kilichopangwa inatokana na madeni inayodaiwa Wizara ya Ujenzi, Sh. bilioni 331 kutoka kwa makandarasi hadi...
na kamanda mwenyewe nilitia timu labda watupore ushindi kwa nguvu lakini kwisha habari yao magamba...eti hii ndo kata wanayotegemea kuteka watu wote hawataweza
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon amesema Naibu Katibu Mkuu wa umoja huo, Asha Rose Migiro ameomba mwenyewe kustaafu.Akizungumza na waandishi wa habari jana katika Makao Makuu ya Umoja...
Hakika kama Mdau wa siasa za kweli nawapongeza kwa kutoa elimu kwa umma kwa hatua nliyofikia
1.Lusinde katukana wanawake wa Arumeru--Kipigo--Wanawake mtampa kura kwa aliyewatusiiiiiiii
2.Eneo la...
Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.
ADDIS ABABA,na Jenerali Ulimwengu. March 26, 2012
Ningependa sana watawala wetu wafike Addis Ababa wakiwa na macho yaliyofunguka tayari kwa kuona na kujifunza. Kwa siku...
Nimeshangazwa na utaratibu wa kiwizi na kulindana unaotengenezwa na sirikali ya CCM kupitia kwa mteule wa rais mh Rudovick Utouh kuwa taarifa zote za ukaguzi zianzie kwake na kisha wizarani then...
Nimesikia juzi kupitia vyombo vya habari kuwa kuna kamati ya bunge imeamuru jenereta inayotumiwa na mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Muhando itolewe.
Je kwa kumpora hyo jenereta ndo tutakuwa...