CAUTION:Hujuma ya kuhujumu upinzani Arumeru siku ya wajinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CAUTION:Hujuma ya kuhujumu upinzani Arumeru siku ya wajinga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by opportunist2012, Mar 30, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi baadhi ya wanasiasa wanataka kuwapotosha wapiga kura Arumeru siku ya wajinga trh 01/04/2012 ambayo ni siku ya kupiga kura.Wanapanga mikakati ya kuwadanganya wananchi na kuwapotosha kuhusu CHADEMA.Lengo lao ni kupunguza kura za CHADEMA kwa kuwazuia wapiga kura waijitokeze vituoni.
   
 2. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini na nyie msiwapotoshe wanachama wa CCM? hizi ndio dalili za kushindwa mnaanza kutafuta sababu.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa Arumeru si wajinga na walishaelezwa juu ya suala hili. Na wakifanya hivyo itakula kotekote maana ambaye ataacha kuja kupiga kura huwezi mjua ni wa chama gani?


  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeee.
   
Loading...