Maofisa Usalama toka Ikulu wakiri kwamba kweli CCM imezidiwa CDM inakwenda kushinda

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Serikali imetuma ma afisa usalama walio zagaa Arumeru kama kumbikumbi.kambi yao kubwa mojawapo ni Bar ya Transit eneo la Leganga Usa River.Kwa Bahati mbaya au nzuri eneo hili lina wasomi wengi mno na limezungukwa na Vyuo Vikuu zaidi ya 3.Hawa Maafisa usalama tunawajua na tumesoma nao sekondari nk,hongereni serikali kwa kuwapa ma alawansi,wapo huku wanakula bata na wanakiri kweli CCM baibai.
Nawasilisha...
 
Kamateni mmoja mumtest kama kama atakuwa mtamu kama bata zitokanazo na alawansi
 
Ni kweli wanalijua hilo lakini saizi wako katika mkakati mzito wa jinsi gani kura ziibwe. Wanajadili altenative moja baada ya nyingine na hatimaye muafaka utapatika ili kumuokoa Sioi asishindwe. Ila hali ni mbaya sana.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom