Arumeru na koti lenye chawa

Mifumo

Member
Mar 29, 2012
11
0
Kwa muda mrefu tumefatilia kampen za arumeru na ss znakwenda mwisho,na 2meona kampeni zenye mvutano wa vyama viwili vyenye mashabk weng Chadema na CCM,lakn Kwa chama km CCM nakfafanisha na koti ambalo lina chawa ambalo halwezekan kuvaliwa tena,mambo wanayofanya ndan na nje ya chama knawatafuna wenyewe na hii imesababsha wapoteze IMANI kwa watanzania,afya,maji,shule,maisha magumu,matatzo ya ardhi,ufsadi,umeme,hawa ni chawa ambao wamo ndani ya makoti ya CCM na inashdkana kuvaliwa tena,watanzania hawawez kuvaa koti hili ambalo lina chawa litasababsha waumwe hvo lazma tubadlshe aina ya koti ambalo halitakuwa na chawa,tunahitaji koti safi..watu wa arumeru wanapaswa kufanya kufanya maamuz magumu wanatakiwa kuachana na koti lenye hawa chawa na wanunue koti jipya..mungu ibarik ARUMERU mungu wabariki wana ARUMERU.
 
Karibu Mifumo japokuwa umejiunga jana lakini naona kama upo siku zote kutokana na fact uliyoibuka nayo.

CCM ni kweli ni kama koti lenye chawa.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Wanawatangazia wananchi kuwa maji marefu anachanja chali matakoni nae anachekelea tu.

Kazi kweli kweli!!!!!!

Back
Top Bottom